Je Babu Seya anaandaliwa kuipigia kampeni CCM 2020?

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,527
55,213
..zipo tetesi kuwa Babu Seya ataongoza kundi la wanamuziki watakaozunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya CCM.

..itakumbukwa kwamba Babu Seya amesamehewa kifungo tu, lakini haimaanishi kwamba amefutiwa hatia.

..Je, wananchi watakichukuliaje kitendo cha CCM kupigiwa kampeni na mtu aliyepatikana na hatia ya kuharibu watoto wadogo?

..Wapiga kura wakubwa wa CCM wamekuwa kina mama. Je, kina mama watampokeaje Babu Seya na CCM wakati wa kampeni?

..Suala la kuachiwa Babu Seya aliyelianzisha ni Edward Lowassa wa CDM. Wana CCM kadhaa walilipinga, na kwa maoni yangu walikuwa na hoja nzuri kabisa.

Kilichonishangaza ni Mwenyekiti wao kuichukua ahadi hiyo na kuifanyia kazi. Je, hakuna wana CCM waliochukizwa? Wale wana CCM waliokuwa wakipinga Babu Seya kuachiwa leo wamepotelea wapi?

..Je, Raisi Magufuli yuko tayari kuvumilia vijembe vya kampeni kupinga kitendo chake cha kumsamehe Babu Seya, na zaidi kumpokea Ikulu ambapo Baba wa Taifa alipaita mahali patakatifu?
 
..wanaofanya ngono za kawaida na watoto wa shule wanapigwa vita kwelikweli.

..lakini hawa waliofanya ngono kinyume na maumbile na watoto wadogo wa kuwazaa wanapewa heshima.

..Hii siyo CCM aliyotuachia Baba wa Taifa.
 
Kumbe lile suala la kuwatoa wabakaj jela ni ili waje kumsaidia kwenye ambitions zake za kisiasa?

Kweli Juma Is Poor Manager

Nani ana time ya kuwasikiliza hao wabakaji na kuacha kuhangaikia maisha yao yaliyo magumu?

Sanaa zake zimeshafeli
 
..zipo tetesi kuwa Babu Seya ataongoza kundi la wanamuziki watakaozunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya CCM.

..itakumbukwa kwamba Babu Seya amesamehewa kifungo tu, lakini haimaanishi kwamba amefutiwa hatia.

..Je, wananchi watakichukuliaje kitendo cha CCM kupigiwa kampeni na mtu aliyepatikana na hatia ya kuharibu watoto wadogo?

..Wapiga kura wakubwa wa CCM wamekuwa kina mama. Je, kina mama watampokeaje Babu Seya na CCM wakati wa kampeni?

..Suala la kuachiwa Babu Seya aliyelianzisha ni Edward Lowassa wa CDM. Wana CCM kadhaa walilipinga, na kwa maoni yangu walikuwa na hoja nzuri kabisa.

Kilichonishangaza ni Mwenyekiti wao kuichukua ahadi hiyo na kuifanyia kazi. Je, hakuna wana CCM waliochukizwa? Wale wana CCM waliokuwa wakipinga Babu Seya kuachiwa leo wamepotelea wapi?

..Je, Raisi Magufuli yuko tayari kuvumilia vijembe vya kampeni kupinga kitendo chake cha kumsamehe Babu Seya, na zaidi kumpokea Ikulu ambapo Baba wa Taifa alipaita mahali patakatifu?

Once upon a time there was a saying goes like:

"Rumors are carried by haters, spread by fools and accepted by idiots"
 
Ni vyema Babu Seya akajikita kwenye utumishi wa Mungu aliouahidi. Aachane na siasa. Kama aliweka nadhiri kwa BWANA hana budi kuiondoa upesi.
 
..zipo tetesi kuwa Babu Seya ataongoza kundi la wanamuziki watakaozunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya CCM.

..itakumbukwa kwamba Babu Seya amesamehewa kifungo tu, lakini haimaanishi kwamba amefutiwa hatia.

..Je, wananchi watakichukuliaje kitendo cha CCM kupigiwa kampeni na mtu aliyepatikana na hatia ya kuharibu watoto wadogo?

..Wapiga kura wakubwa wa CCM wamekuwa kina mama. Je, kina mama watampokeaje Babu Seya na CCM wakati wa kampeni?

..Suala la kuachiwa Babu Seya aliyelianzisha ni Edward Lowassa wa CDM. Wana CCM kadhaa walilipinga, na kwa maoni yangu walikuwa na hoja nzuri kabisa.

Kilichonishangaza ni Mwenyekiti wao kuichukua ahadi hiyo na kuifanyia kazi. Je, hakuna wana CCM waliochukizwa? Wale wana CCM waliokuwa wakipinga Babu Seya kuachiwa leo wamepotelea wapi?

..Je, Raisi Magufuli yuko tayari kuvumilia vijembe vya kampeni kupinga kitendo chake cha kumsamehe Babu Seya, na zaidi kumpokea Ikulu ambapo Baba wa Taifa alipaita mahali patakatifu?
JokaKuu hebu acha wivu. Nani amekuambia Babu Seya ataongoza kampeni 2020 kama sio kuweweseka?
 
Back
Top Bottom