Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
Wakuu,
Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.