Je, Askari akiua ni dhambi kwa Mungu?

Je, Askari akiua ni dhambi kwa Mungu?

ni subjective matter of morality unaweza jibu swali hilo basing on your point of view
to religion point of view kama ni mkristu ni dhambi
kama ni musilm inadepend koz kama ni mpambanaji wa jihad si dhambi vinginevyo c dhambi
kwa humanitarian point of view ni dhambi directly
ko me naona ni swala la kimtizamo
Ni swala la kimtazamo but according to enemity, mtu yeyote akufanyiae uadui na ikiwa lengo lake ni kukuua basi ukiwahi na kumuua yeye sio dhambi.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
aliye uwa au anaye jiandaa kwenda kuuwa 'innocent people' sharti na yeye auwawe e.g mchawi, jambazi etc
 
Ni swala la kimtazamo but according to enemity, mtu yeyote akufanyiae uadui na ikiwa lengo lake ni kukuua basi ukiwahi na kumuua yeye sio dhambi.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
standards of morality zimewekwa na watu watu hao wanakuwa na imani utamaduni na mamlaka tofauti za uongozi
 
Denis Alphonce
Kwa mtizamo wa Kiislam kuua ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu lakini pia Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe waja wake waliokosea kwa madhambi mbali mbali isipokuwa dhambi ya shirki. Kwa mantiki hiyo kuna kitu kinaitwa toba (Kutubia).
Endapo mtu ataua nafsi nyingine lakini baadae akaomba toba basi Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe madhambi ya waja wake.
Wallahu a'alam.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Mungu ye alivyowaua watu katika gharika ilikua ni dhambi au siyo?
usimlinganishe Mungu na binadamu, nyumba unaijenga mwenyewe na unaweza kuibomoa na usiulizwe, vivyohivyo kwa Mungu anaweza kuwauwa watu ni yeye aliyewaumba na do mwenye mamlaka juu yahilo tu nasi mwingine
 
Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.

Nawasilisha.
Ya kaisali mpe kaisali ya Mungu mpe Mungu
Ukichanganya Sheria na Dini utaishia kufeli
 
usimlinganishe Mungu na binadamu, nyumba unaijenga mwenyewe na unaweza kuibomoa na usiulizwe, vivyohivyo kwa Mungu anaweza kuwauwa watu ni yeye aliyewaumba na do mwenye mamlaka juu yahilo tu nasi mwingine
Unaweza kumthibitusha huyo mungu kua yupo?
 
Kuua adui anayetaka kudhuru si dhambi ( nionavyo mimi), Mungu hataki uchokozi wowote!

Mfano kwanini Mungu aliwaongoza vitani wana wa Israeli dhidi ya maadui zao (mfano, wafilisti?)

Wanajeshi/majeshi yalikuwepo toka enzi na enzi, na Vita vingi vimepiganwa Sana, mda mwingine Mungu anakuwa upande fulani akiwezesha upande huo kushinda Vita. Neno "Adui" linamalizwa na neno "kuua".

Adui mvamizi haki yake Ni kifo! You can't surrender your territory into enemy's control by fearing killings!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom