Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 273
Habari wana jamii intelligence,
Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?
Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.
Nawasilisha.