Je, Askari akiua ni dhambi kwa Mungu?

Je, Askari akiua ni dhambi kwa Mungu?

Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.

Nawasilisha.

Kuua si dhambi ila inabidi nao wauliwe ikiwa aliouliwa alikuwa hana hatia.
 
Sio dhamb askar hajaanza leo toka enzi za mitume wapo pia askar akiua mtu vitani Sio dhamb na akiua mtu katika kujihami Sio dhamb
Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu alisema tusihukumu. Full stop (period)

Mathayo 7:1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

Marangapi umemsema mtu vibaya na kumtangaza kwa watu kuwa si mwema, sio mwaminifu na mdhambi? Umekuwa hakimu wa kumhukumu mtu na kumtangaza vibaya kwa watu. Sawa, hatakama ulikuwepo wakati akitenda dhambi hiyo au kosa hilo, je unauhakika gani kama hajaenda mbele ya kiti cha rehema kutubu na kuomba msamaha na Mungu ameshamsamehe? Mungu aliyesahau dhambi yake, wewe ni nani hata uishikie bango?

Tutahukumiwa kwa maneno ya vinywa vyetu. Badala ya kumsema na kumtangaza vibaya muombee ili neema ya Mungu iwe juu yake. Hata kama wewe ni mkamilifu kiasi gani, hauna mamlaka ya kumhukumu mtu yeyote. Mueleze kweli ya neno la Mungu na kisha endelea kumuombea.
 
Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.

Nawasilisha.
Inategemea!
Chukulia huu mfano: uongo ni dhambi na mtu anayedanganya huapata dhambi ya uongo
Siku moja baba kaja nyumbani kakukuta na kukuambia "mwanangu, kuna watu wabaya wananitafuta wanataka kuniua, nasikia wapo njiani wanakuja hapa nyumbani. Mimi naingia ndani nijifiche kwenye handaki lililopo chini ya ardhi ndani ya nyumba yetu, na watakapofika hapa na kukuliza baba yako yuko wapi, WADANGANYE kuwa hayupo hapa nyumbani, alitoka na hajarudi"

Maswali:
Je, hawa watu wakishafika na kukukuta wewe halafu UKAWADANGANYA kuwa baba hayupo wakati yupo, utakuwa umefanya dhambi? Kwa nini?

Je, hawa watu wakishafika na kukukuta wewe halafu ukawaambia UKWELI kuwa baba yupo ndani chini ya handaki, wakaingia ndani wakamkamata na hatimaye kumuua, utakuwa hujafanya dhambi? Kwa nini?
 
Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.

Nawasilisha.

Akiua nyoka hana dhambi
 
Mungu ye alivyowaua watu katika gharika ilikua ni dhambi au siyo?
Aliyekeambia ni mungu kawaua ninan???
Mmepewa akil yakuishi basiiiii!!!
Ukiua ukiuwawa sawa tu
Tumia akil usiuwawe kwaiyo askar yupo kweny majukumu akikaa vbaya anakufa yy kwaio tayar katumia akili??? Ww unatembea usiku unapigwa unaanza kusema mung awalaan [emoji1787][emoji1787] ujatumia akili katika kutembea usiku ......
 
Inategemea kamuua nani,maana haiwezekani aue tu halafu asipate dhambi,hata sheria za nchi tu kama zikiwa imara zina muhukumu na kama hakuna wale wanaojiita watetezi wa haki za binaadamu bandia,basi askari huyo alitakiwa kula kitanzi kiroho safi kabisa.
Lakini askari yupo vitani,anatetea nchi yake,analinda watu wake dhidi ya maadui,askari huyo ana haki ya kuua hapo dhambi hakuna.
Askari yupo ana pambana na majambazi yenye silaha,ni haki yake kuyaua kiroho safi.
Ila akiua asie na hatia,askari huyo ajiandae kuingia motoni kula mateso na firauni.
Ijue kwanza dhambi ....hakuna asiye na dhambi....nadhambi haijagawanyika...
 
Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.

Nawasilisha.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
imdddfffggages.jpg
 
Ukitumia msamiati/neno dhambi maana yake tayari unazungumzia maudhui ya kiimani na ambayo mostly yako rohoni(yakufikirika zaidi) hivyo kutoa uhai wa mtu ni dhambi, tena dhambi kubwa tu kiimani. Hizi za kusema kujihami au sijui ni jambazi au in line of duty vitani ni justification za kibinadamu. Hapo tunakuwa tumehama katika ulimwengu wa Uungu na imani. Tunafikiri kibinadamu zaidi.

Ni swala complex ambapo ukiingia ndani zaidi ndio hapo utaona hakuna dhambi, hence hakuna mungu.. bali tunaishi na kujiongoza kwa utashi wetu kama binadamu.
 
Habari wana jamii intelligence,

Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu?

Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila mtu ana haki ya kuishi.
Inategemea msukumo Wa kupigana hiyo vita unasababishwa na Haki au ni unapigana kwa Dhuruma!..wana Wa Israel walipovuka tu Shamu wakatokea Waamaleki ili Wawapoteze wana Wa Israeli katika Uso wa Dunia kwa sababu za kwao , Joshua alipiga jambia wooote
Akawamaliza, kwa hiyo Askari akimkabili Adui na kumuua katika uwanja wa vita Hatohesabiwa Dhambi kama tu sababu za haki za kuua anazo

Hakuna dini iliyokataza mtu kujilinda au nchi kulindwa kwa vile Mungu yupo bali licha ya kuwepo kwake pia swala la kujilinda linabaki pale pale. Kuua ni dhambi lakini kila dhambi ina uzito wake.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Imeandikwa:
“Usiue”

Hakuna provision yoyote kwamba pengine “ isipokuwa ikitokea mtu anajihami n.k inaweza kuruhusiwa.

Kwa hiyo Usiue .
 
Kuua ni dhambi kwa Mungu tena kubwa sana.

Fikiria thamani kubwa ya uhai wa mwanadamu halafu gafla binadamu uondoe uhai huo?!

Yani bora kuomba kuepukana na dhambi hiyo na vizazi vyako.
 
ni subjective matter of morality unaweza jibu swali hilo basing on your point of view
to religion point of view kama ni mkristu ni dhambi
kama ni musilm inadepend koz kama ni mpambanaji wa jihad si dhambi vinginevyo c dhambi
kwa humanitarian point of view ni dhambi directly
ko me naona ni swala la kimtizamo
 
Back
Top Bottom