Malisa Mpanda
Member
- Jul 17, 2015
- 11
- 2
Alafu lengo la kuumbwa ni kimwabudu mungu kwahiyo wapo wachamungu nna kinyume chake kama wafanyavyo binadamu, hawana nguvu kuliko binadamu ila binadamu huwafanya wao waonekane kama wananguvuNtajaribu kijibu, =Majini ni viumbe kma ss na hawaonekani ila ukiwataka kwa sababu zako mwenyewe utawaona na wala hawna nguvu yoyote ukijisimamia,pia wanaishi maisha kama haya ya kwetu wanaona na wanazaana na wapo kikoo na wana dini zao tofauti na hizi wanatawala zao kama serikali pia wapo matajiri na maskini kama sisi na mavazi yao ni kama muundo Wa joho(kanzu) kwa wanaume na wanawake uvaa juba(baibui) hayo ni mavazi ya watu Wa kale waliokua wakitumia Ila rangi za mavazi utofautiana,wameubwa kwa miale ya moto ,,niishie hapo.
Mkuu alichoongea uongo hapo ni kipi haswa? Hiyo ndo imani yake kuhusu majini kulingana na mafundisho aliyofundishwa. Yako kama ni muislamu, majini ni viumbe vingine vya mwenyezi Mungu vyenye UTASHI na vilivyoumbwa vya kumwabudu Mungu (Allah)muongo,,umeongea vitu tofaut,..majin wengnena malaika wengne na wote ni viumbe wa m/mung
Hapana Roho yule yule wa Yesu Kristo ndio huyo huyo ambaye Yesu Kristo aliwaahidi wanafunzi wake kuwa kuna msaidizi atakuja,Tofautisha Roho aliyetwaja hapa,na Roho wa Kweli.Soma Yohana 16:13-15.
Akija yule Roho wa Kweli,atawaongoza muijue kweli......
Kwa hiyo ujuwe huyo alioko kwenye Matayo 4:1 ni Roho mchafu na Iblisi au labda useme huyo Iblisi na Huyo roho ni marafiki.Kwa hiyo katika ukristo iblisi na Roho wenu ni wamoja,na wanayoamrisha ni pamoja,wanashirikiana kama hapo walivoshirikiana kumjaribu Yesu.
Biblia haina ilmu ya majinni, majinni ni viumbe kama walivyo binadamu, wapo wabaya na wazuriKaka hakuna jin mzuri ila kitengo alicho pangiwa na Shetwani si cha kudhuru watu ila wote ni jeshi la ibilisi . Kabla ya vitabu vyote kulikua na kumbumbu la torati hamna sehemu iliosema kuna majini wazuri hii imekuja baada ya Quran ukitaka kujua hiki kitabu ni mkanganyiko Malaika alietumwa na Mungu ni wapole sana angalia malaika wa Ibrahimu walivyo mtokea pamoja na manabii wengine walijiwa kwa upole na upendo. Sasa huyu Mud malaika wake alikua mkali anamkwida roba anamwambia asome huyu alikua malaika wa namna gani !!!!
Safi sana hapa umeleta majibu mengi Shetani aliumbwa kwa moto pamoja na wenzie ambao walikua wana mwabudu Mungu lakini baadae ndo wakatupwa chini baada ya kuhasi. Umeleta jibu lingine zuri kua Majini makazi yao mapangoni sasa ilikuaje aya za Quran zilipokelewa huko?[/QUOTE]MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Basi hatari sana hii dini.Ninyakati za mwisho utaona kila aina ya kituko biblia ilisha tabiri haya yote hata waislam kuchinja wakristo yalisha tabiriwa si hao tu wengi watakuja na kujiita wao ni Yesu na watakuja kuleta miujiza na watu watawafuata ni wakati wa Shetani au ibilisi kufuata walio wake. Hata ishia hapo mwisho kabisa ataibuka mnyama 666 ambae Quran imesema mtaletewa waislam mnyama kutoka ardhini msemezane nae.
Baada ya kuasi umalaika wao ukapotea?Walikua ni malaika wa Mungu kabla ya kuasi. Hilo ndo jeshi alilo ondoka nalo Lucifer au Shetani ambae mnamwita mola mlezi
Mbona nyinyi wagalatia mnapenda kuandika kitu ambacho huna ujuzi nacho au chuki tuBaada ya kuasi umalaika wao ukapotea?
Baada ya kuasi umalaika wao ukapotea?
Kwa mujibu wa biblia mashetani ni malaika waliyoumbwa na mungu.Majini ni viumbe marafiki wa mungu wa waisilamu allah aliyewaahidi waisilamu mito ya pombe na bikira 72 endapo kama watajitoa muhanga
Majini ni malaika waliyoumbwa na mungu,ni kwa mujibu wa biblia.Biblia imetaja majini ni giza na sisi ni nuru kwahiyo hatuluhusiwi kukaa pamoja na giza labda ndugu zetu waisilamu ambao husali pamoja na majini na kuyatolea sadaka kama kuyachinjia mbuz nk
Kosa langu ni lipi kwani?Wewe don't be stupid with your illogical comment! Quran inafundisha Isis wakauwe watu? Isis, alkaida, alshabab na bokoharam wote wakiwa wanachinja mtu au vitani wanasema Allahuakbar. Je ni uislamu, Quran au terrorist wenye makosa?
Dini au madhebu ya kikristo ziko nyingi na ndani ya hayo madhebu wako manabii wa uwongo wengi wakidanganya wanao jiita wakristo lakini maandiko hawayajui na hawajui requirements za Mungu.
Biblia haifundishi hayo mambo uliyoyataja! Ndiyo maana kwenye Yohana 8:32 Yesu anasema "ukiijua kweli, kweli itakuweka huru” na uwongo wa makanisa na mapastor wanaohubiri yasiyo endana na Biblia.
Biblia hiko wazi kwamba njia ni mbili, moja nyembamba kwa uzima wa milele na pana kwa kuangamia. Kwahiyo, wanacho practice makanisa haimaanishi wana practice yaliyo ndani ya biblia.
Apology, the reply was sent kwa bahati mbaya.Kosa langu ni lipi kwani?
Ndio ni malaika walioumbwa na mungu lakini walifukuzwa na kutupwa kuzimu baada ya malaika mkuu lucifer kutaka kupambana na mungu ndo akamutupa kuzimu pamoja na wafuasi wake ambao ndo hao majinKwa mujibu wa biblia mashetani ni malaika waliyoumbwa na mungu.
Hebu lete ushahidi wa biblia ya kuhusu Lucifer kutupwa kuzimu.Ndio ni malaika walioumbwa na mungu lakini walifukuzwa na kutupwa kuzimu baada ya malaika mkuu lucifer kutaka kupambana na mungu ndo akamutupa kuzimu pamoja na wafuasi wake ambao ndo hao majin
Kwa mujibu wa biblia majin hawana tena nafasi ya kutupu ndo maana wanatafuta viumbei wengine wa kwenda nao moton ili wawe wengi na kwa bahati nzur wamesha wanasa waisilamu ambao husali nao pamoja
Safi sana hapa umeleta majibu mengi Shetani aliumbwa kwa moto pamoja na wenzie ambao walikua wana mwabudu Mungu lakini baadae ndo wakatupwa chini baada ya kuhasi. Umeleta jibu lingine zuri kua Majini makazi yao mapangoni sasa ilikuaje aya za Quran zilipokelewa huko?[/QUOTE]MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Mkuu umeeleza vizuriMAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Mkuu umeeleza vizuriMAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
hapa nimekuelewa sana a.k.a mubasher sheikhNa binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.