Je, asili ya majini ni ipi?

Hayo mambo ya majini zaid ya kwenye bongo movie na naijeria movie... nitawezaje kuya'exprience in real situation!?
 
Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Biblia inasema asili ya majini ni mashetani hivyo msisali nayo wala kuyatolea sadaka maana yalilaaniwa na Mungu pamoja na yule muovu( shetani mkuu au ibilisi). Yaani ndo unaona kua shetani ana maarifa ya ajabu kabadilisha kidogo tu herufi ili watu waamini kua ni tofauti. Na hii inatoka Agano la kale ambalo wenzetu ndo wanaikubali wanaita torati. Ukiangalia katika uumbaji Mungu hakuumba majini kama Mungu aliumba dunia hii kwa siku saba basi hiyo ya saba aliumba majini lakini kama aliumba Siku sita basi majini hayakuemo kwenye uumbaji. Hata ukisoma Biblia hamna sehemu ilipo andikwa majini yali umbwa isipokua hawa ni watoto wa Ibilisi .
 
Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Biblia inasema asili ya majini ni mashetani hivyo msisali nayo wala kuyatolea sadaka maana yalilaaniwa na Mungu pamoja na yule muovu( shetani mkuu au ibilisi). Yaani ndo unaona kua shetani ana maarifa ya ajabu kabadilisha kidogo tu herufi ili watu waamini kua ni tofauti. Na hii inatoka Agano la kale ambalo wenzetu ndo wanaikubali wanaita torati. Ukiangalia katika uumbaji Mungu hakuumba majini kama Mungu aliumba dunia hii kwa siku saba basi hiyo ya saba aliumba majini lakini kama aliumba Siku sita basi majini hayakuemo kwenye uumbaji. Hata ukisoma Biblia hamna sehemu ilipo andikwa majini yali umbwa isipokua hawa ni watoto wa Ibilisi
 
Yesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.Soma Matayo 4(1-11).
Biblia haikusema hivyo usitake kulazimisha joomba . Shetani ni kweli alimpeleka sehemu tofauti tofauti kwa majaribio lakini suala la kufunga hakusahulishwa ila ilikua sehemu ya ibada. Nashetani alimchukua akiwa amesha funga tayari
 
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI[/QUOTE]
Safi sana hapa umeleta majibu mengi Shetani aliumbwa kwa moto pamoja na wenzie ambao walikua wana mwabudu Mungu lakini baadae ndo wakatupwa chini baada ya kuhasi. Umeleta jibu lingine zuri kua Majini makazi yao mapangoni sasa ilikuaje aya za Quran zilipokelewa huko?
 
Biblia haikusema hivyo usitake kulazimisha joomba . Shetani ni kweli alimpeleka sehemu tofauti tofauti kwa majaribio lakini suala la kufunga hakusahulishwa ila ilikua sehemu ya ibada. Nashetani alimchukua akiwa amesha funga tayari
Soma maandiko vizuri,shetani alimbeba Yesu juu,akamuweka na njaa suku 40.
 
Tofautisha Roho aliyetwaja hapa,na Roho wa Kweli.Soma Yohana 16:13-15.
Akija yule Roho wa Kweli,atawaongoza muijue kweli......
Kwa hiyo ujuwe huyo alioko kwenye Matayo 4:1 ni Roho mchafu na Iblisi au labda useme huyo Iblisi na Huyo roho ni marafiki.Kwa hiyo katika ukristo iblisi na Roho wenu ni wamoja,na wanayoamrisha ni pamoja,wanashirikiana kama hapo walivoshirikiana kumjaribu Yesu.
 
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI[/QUOTE]
Nimependa hitimisho lako[emoji106] .
Sitaki kujua we wadini gani au unaamini nini. Ila hitimisho ni zuri.
 
Mkuu inakuwaje pale shekhe anapofuga majini?

Je, kuna uhusiano wowote Kati ya lugha iliyotumika kwenye Qur'an na majini?

Kwa nini waislam wanaonekana kuwanyenyekea majini?

Nimeuliza Maana kuna vitu nimevishuhudia kwa macho yangu ukinijibu nitakuambia
 
Hapo hamta elewana.
Inaonekana mnatofautiana imani. Na yake yeye. Haimjui Roho mtakafu. Hivyo nikupoteza mda kumueleza habari za Roho mrakatifu
 
Ninyakati za mwisho utaona kila aina ya kituko biblia ilisha tabiri haya yote hata waislam kuchinja wakristo yalisha tabiriwa si hao tu wengi watakuja na kujiita wao ni Yesu na watakuja kuleta miujiza na watu watawafuata ni wakati wa Shetani au ibilisi kufuata walio wake. Hata ishia hapo mwisho kabisa ataibuka mnyama 666 ambae Quran imesema mtaletewa waislam mnyama kutoka ardhini msemezane nae.
 
Kuna siku ikiondikwa malaika waliumbwa?
 
Katika ukristo hakuna ilmu hii ya majini.Ngoja niwape darsa.Majini ni viumbe ambao wameumbwa na M/Mungu kama viumbe wengine(rejea Surat jinn) katika majinni kuna majini wabaya na wazuri kama ilivyo kwa binadamu.Majinni wana ulimwengu wao kama ilivyo sisi binadamu.Shetwani ni miongoni mwa majinni ambaye aliishi mbinguni pamoja na malaika ila aliasi akafukuzwa mbinguni.Wapo majinni ambao hawamwabudu Mungu
 
Kaka hakuna jin mzuri ila kitengo alicho pangiwa na Shetwani si cha kudhuru watu ila wote ni jeshi la ibilisi . Kabla ya vitabu vyote kulikua na kumbumbu la torati hamna sehemu iliosema kuna majini wazuri hii imekuja baada ya Quran ukitaka kujua hiki kitabu ni mkanganyiko Malaika alietumwa na Mungu ni wapole sana angalia malaika wa Ibrahimu walivyo mtokea pamoja na manabii wengine walijiwa kwa upole na upendo. Sasa huyu Mud malaika wake alikua mkali anamkwida roba anamwambia asome huyu alikua malaika wa namna gani !!!!
 
muongo,,umeongea vitu tofaut,..majin wengnena malaika wengne na wote ni viumbe wa m/mung
 
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI[/QUOTE]
Mkuu umeeleza vizuri

Ni majini wepi ambao wanawaogopa wanadamu wazuri au wabaya?

Kwa nini majini wanawaogopa wanadamu wakati umesema wote wameumbwa ili kumwabudu Allah?

Kwa nini Allah amekataza kwa mwanadamu kuwa na mahusiano na Jini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…