Nani ana chuki na uislam wewe!!!, mimi niuchukie uislam kwa kip???Maislam ndiyo akina nani hao?
Huwa naona ulivyo na chuki juu ya dini ya Uislam.
Toa maoni yako ila usidhihaki imaan za watu ukijua wewe umeshaipata Pepo, kustarabika ni nguzo muhimu kwa muumini yeyote wa dhehebu lolote hasa wewe sijui una imaan gani na wapo unafata maamrisho ya Yesu yanakusaidia nini
Anaposema maislamu ana maana wale radical Muslim au terrorist groups.Maislam ndiyo akina nani hao?
Huwa naona ulivyo na chuki juu ya dini ya Uislam.
Toa maoni yako ila usidhihaki imaan za watu ukijua wewe umeshaipata Pepo, kustarabika ni nguzo muhimu kwa muumini yeyote wa dhehebu lolote hasa wewe sijui una imaan gani na wapo unafata maamrisho ya Yesu yanakusaidia nini
ni bora utafute watu wanaojua zaidi wakueleweshe na si kuandika kitu ambacho hukijui. la pili ni kuwa hata maana ya shetani huijui, tafuta wanaojua lugha wakuelimishe, hakuna kiumbe kinachoitwa shetani, shetani ni binadani au jini muovu. kasome ndugu yangu.Mkuu sijawahi ona jini lina mwamuru mtu kufanya mambo maovu majini au mashetan yote huwa amuru wafu kufanya ibada kuwa swala tano na kuongea lugha la allah pamoja na kuvaa kanzu na hijabu na kusilimu dini yaan kuwa mwisilamu hilo jin la mambo maovu sijawahi kuliona kwakweli aisee acha uongo jamaa yangu
majin ni mashetani ambayo baba yao ni lucifer hawana utofaut na allah maana mashetan humwabudu allah na kuwalazimisha watu kwenda kuswali msikitin
ni bora utafute watu wanaojua zaidi wakueleweshe na si kuandika kitu ambacho hukijui. la pili ni kuwa hata maana ya shetani huijui, tafuta wanaojua lugha wakuelimishe, hakuna kiumbe kinachoitwa shetani, shetani ni binadani au jini muovu. kasome ndugu yangu.
Ushetani wetu niupi na tulishawai kumfanyia nani huo ushetani? Au nyie ushetani mnaoufanya makanisani mnajifanya mnatenda miujiza kwa kutumia uchawi na majini ili kuwaaminisha watu kwa lengo la kupata waumini wengi na lengo hasa kukusanya sadaka na kujinufaisha au ulishawai kuona wapi shekhee akafungisha ndoa ya jinsia moja mbona kwenye makanisa yenu mashoga wanafungishwa ndoa huo sio ushetani? Mbona mapatrii wengi mashoga na wanawalawiti watoto huo sio ushetani eti hawaoi kumbe mashogaNaona unajitaid sana kutetea ushetan wenu
Malaika waiomuasi Allah ambao ni Shetani Ibilis na majini.Eh malaika wanafugwa tena? balaa hili.
Neno shetani lina maana 'adui' kiebrania,na ndiyo hata huyo malaika wako mkuu aliitwa hivyo baada ya kuasi.Ufunuo 12:9
Kwenye uislamu malaika hawamuasi Mungu kwa vyovyote vile.Malaika waiomuasi Allah ambao ni Shetani Ibilis na majini.
Ebu wacha Qur'an ijibu Ibilisi/Shetani alikuwa nani kulingana na Al-Kahf 18:50. " Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."Kwenye uislamu malaika hawamuasi Mungu kwa vyovyote vile.
Neno shetani lina maana 'adui' kiebrania,na ndiyo hata huyo malaika wako mkuu aliitwa hivyo baada ya kuasi.
Hakunà kiumbe kilichoumbwa jina lake ni shetani bali kuna viumbe vyenye sifa za kishetani,hivyo hata wewe unaweza ukaitwa shetani Kama alivyoitwa Petro.
Kwenye Qur'an neno Shetani ni nini?Neno shetani lina maana 'adui' kiebrania,na ndiyo hata huyo malaika wako mkuu aliitwa hivyo baada ya kuasi.
Hakunà kiumbe kilichoumbwa jina lake ni shetani bali kuna viumbe vyenye sifa za kishetani,hivyo hata wewe unaweza ukaitwa shetani Kama alivyoitwa Petro.
Kwenye uislamu malaika hawamuasi Mungu kwa vyovyote vile.
Mbona unajichanganya!Ebu wacha Qur'an ijibu Ibilisi/Shetani alikuwa nani kulingana na Al-Kahf 18:50. " Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."
Hapo ni wazi "tuliwaambia Malaika" siyo tuliwaambia Malaika na Ibilisi! Kwahiyo Ibilisi ni miongoni mwa malaika alikataa kumsujudia Adam. Ibilisi huyohuyo hiyo aya inaeleza ni "miongoni mwa majini."
Ibilisi alivunja amri ya Mungu kama mlezi wake, ina maana kabla Ibilisi alimtii Mungu! 18:50 "Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi." Mungu alikuwa anamlea Ibilisi kama nani?
Al-Hijr 15:30,
Basi Malaika wote pamoja walimsujudia,
Al-Hijr 15:31.
Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu.
Al-Hijr 15:32.
(Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu?
Katika Sura 15 kuanzia aya 30 mpaka 32. Wote malaika walisujudu, isipo kuwa Ibilisi alikataa. Inaonyesha Malaika Ibilisi hakuwa na kawaida ya kumkatalia Mungu. Ndiyo maana Allah anashangaa Ibilisi amepatwa na kitu gani kwa kuto kuwa pamoja na Malaika wenzake walio sujudu.
Je Mungu angeruhusu kuwepo kwa Ibilisi kumsujudia Adam kama alishakuwa muasi?
Mtu aliye kuibia au kutembea na mke wako, utamkaribisha aje nyumbani kwako?
Kama Ibilisi angekuwa muasi sidhani kama angekuwa pamoja miongoni mwa malaika!
Kwahiyo Ibilisi ni Jini na malaika aliyekataa kusujudia Adam. Na Ibilisi kwa tafsiri za kiingereza ni Satan/Shetani.
Sasa ndiyo umeeleza nini?Kumbe yupo shetani mwenyewe, ambaye yeye ndiye asili ya huo uasi, uadui,mlengo kushoto na Mungu.
Hakuna sehemu nimekwambia Mungu aliumba shetani, lucifer, ibilisi.ila baada ya mgawanyiko huyu anabatizwa jina lake jipya.
Maana ni kama unataka kusema jina halina mwenyewe.
Lazima uchanganyikiwe maana wewe ni muabudu mizimuMbona unajichanganya!
Ushaambiwa ibilisi alikuwa miongoni mwa majini,sasa hata sijui hayo maelezo yako uliyojaza yanaeleza nini.
Sina muda wa kubishana na mambo yaliyo wazi kabisa.
Haya bana maana naona dini ya Paulo imekukamata kweli kweli.Lazima uchanganyikiwe maana wewe ni muabudu mizimu
Q 6:41 makafiri wa zama hizo walikua afadhali katika itikad zao kuliko waisilamu wa sasa wanaoabudu mizimu na makaburi na majini
Ndugu yangu hakuna uisilamu pasibo kuabudu majin na kuyatolea sadaka uisilamu ni kuabudu mizimu na makabuli
Kila siku tunawaambia kuwa allah ni luccifer na huo ndo ukweli uisilamu ni ushetan
Q12:106 japo tunafata uisilamu lakini tunatia ushirikina
Kwahiyo bas uisilamu hauwez kukamilika bila uchawi wa lucifer akishilikiana na allah
Hayo sio maneno yangu mimi msinitukane Hayo ni maneno ya kitabu chenu mlichoshushiwa na ibilis mnayemuitaga allah
Yesu aliyashinda mauti ibilis hana chakeHaya bana maana naona dini ya Paulo imekukamata kweli kweli.
Na inaelekea Ibilisi huyo huyo ndiyo aliyemtokea Paulo ila yeye akadai Yesu.
wanasema bora kumuelimisha mpumbavu kuliko mjinga, sasa we ni mjinga,Hakuna kiumbe kinachoitwa shetani!!!!!.
Tunawaambia waislam ni kundi la kwanza ambalo licifer amefanikiwa kulihadaa.mpo kwenye shimo msilojua mmeingiaje.
Unadhani shetani huko alipo anajisikiaje anapotajwa kwamba hayupo????