Je, asili ya majini ni ipi?

Neno shetani linatumika hadi kwa binadamu endapo anafanya maasi au linatumika kwa malaika tu ambaye anafanya maasi?
 
Majini ni mashetan ambayo humwabudu allah na lucifer ndo maana hakuna utofauti kati ya allah na lucifer hata kama upo lakin ni wa kutafuta kwa toch
Ina lusifa ni mungu...?
 
Neno shetani linatumika hadi kwa binadamu endapo anafanya maasi au linatumika kwa malaika tu ambaye anafanya maasi?

Je, Shetani ni kiumbe halisi? Ikiwa ndivyo, alitoka wapi? Je, yeye ndiye nguvu isiyoonekana inayosababisha matatizo ambayo wanadamu wanakabili? Unaweza kuepukaje kuathiriwa na uvutano wake?
Biblia Inasema Nini?
Biblia inamfafanua Shetani kuwa kiumbe halisi ambaye yuko katika makao ya roho. ( ) Inatueleza kuhusu sifa zake za ukatili kutia ndani matendo yake ya uovu. (
) Pia inasimulia mazungumzo kati ya Shetani na Mungu na pia kati yake na Yesu.— .
Kiumbe huyo mwovu alitoka wapi? Muda mrefu kabla ya mwanadamu kuumbwa, Mungu alimuumba Mwana wake “mzaliwa wa kwanza,” ambaye alikuja kuitwa Yesu. ( ) Baada ya muda, ‘wana wengine wa Mungu,’ wanaoitwa malaika, wakaumbwa. ( ) Wote walikuwa wakamilifu na waadilifu. Hata hivyo, mmoja kati ya malaika hao akaja kuwa Shetani.
Malaika huyo hakuitwa Shetani alipoumbwa. Jina hilo ni la kumfafanua, na linamaanisha “Mpinzani; Adui; Mshtaki.” Alikuja kuitwa Shetani kwa sababu alichagua kumpinga Mungu.
Kiumbe huyo wa roho akaanza kukuza hisia za kiburi na za kushindana na Mungu. Alitaka wengine wamwabudu yeye. Mwana mzaliwa wa kwanza wa Mungu alipokuwa hapa duniani, Shetani alimtaka Yesu ‘amfanyie tendo la ibada.’—
.
Shetani “hakusimama imara katika kweli.” ( ) Alidai kwamba Mungu alikuwa mwongo, ilhali kwa kweli, yeye ndiye alikuwa mwongo. Alimwambia Hawa kwamba angekuwa kama Mungu, lakini ni yeye hasa aliyetaka kuwa kama Mungu. Na kupitia mbinu zake za ujanja, alitosheleza tamaa yake yenye ubinafsi. Alimfanya Hawa amwone kuwa mkuu kuliko Mungu. Kwa kumtii Shetani, Hawa alimkubali kuwa mungu wake.—
.
Kwa kuchochea uasi, malaika huyo ambaye awali alikuwa mwenye kuaminika akawa Shetani, yaani, mpinzani na adui ya Mungu na wanadamu. Neno “Ibilisi,” linalomaanisha “Mchongezi,” likawa pia jina la malaika huyo mwovu. Malaika huyo ambaye aliongoza katika kutenda dhambi mwishowe aliwachochea malaika wengine wakose kumtii Mungu na wamwasi kama yeye. (
) Kwa kufanya hivyo malaika hao waliwaongezea wanadamu shida. Kwa sababu ya kuiga njia za Shetani zenye ubinafsi, “
hivyo mwanadamu akiitwa shetani ametukanwa ni sawasawa na mwanadamu akiitwa mnyama si kweli kwamba ni mnyama ila kwasababu ameonyesha tabia za kinyama .
Usidanganywe hakuna jini au pepo safi wote hao ni malaika walio muasi Mungu pamoja na shetani akiwa malaika wa sifa. Soma Biblia Qur ani imesema usome biblia au uniulize mimi niliyepewa kitabu kabla yako ,sasa na kuambia HAKUNA JINI SAFI yote ni mashetani
 
Mkuu sijawahi ona jini lina mwamuru mtu kufanya mambo maovu majini au mashetan yote huwa amuru wafu kufanya ibada kuwa swala tano na kuongea lugha la allah pamoja na kuvaa kanzu na hijabu na kusilimu dini yaan kuwa mwisilamu hilo jin la mambo maovu sijawahi kuliona kwakweli aisee acha uongo jamaa yangu

majin ni mashetani ambayo baba yao ni lucifer hawana utofaut na allah maana mashetan humwabudu allah na kuwalazimisha watu kwenda kuswali msikitin
 
Umeeleza kuwa neno shetani lina maana "mpinzani au adui". Kwa hivyo huyo malaika aliitwa hivyo baada ya kuwa na hiyo sifa maana mwanzo hakuwa na sifa hiyo.

Kwa maana na binadamu ambaye atampinga Mungu naye pia ataitwa shetani kama ilivyofanyika kwa malaika aliyempinga mungu.

Hivyo maelezo yako yanathibitisha kuwa hakuna aliyeumbwa anaitwa shetani bali kuna viumbe vyenye sifa za shetani.
 
Katika Qur'an shetani ni kiumbe?


Kuran yako inajibu kuwa shetani au iblis ni kiumbe aliumbwa kwa Moto wa upepo umoto katika Sura 15:27. "Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto."

Na Allah katika Qur'an anasema huyo kiumbe ambaye ni iblis pia ndiyo huyo huyo miongoni mwa majini katika Sura 18:50 "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je!......"
Hapo inaonyesha wazi Ibilisi ni mmojawapo wa majini. Kama Ibilisi ni mmoja wa Majini, basi naye atakuwa jini!

Swali zaidi la kujiuliza ni kwamba huyu Ibilisi ni nani? Qur'an inajibu kwa translation ya kiingereza katika al-baqara 2:34. "And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan. He refused, was arrogant, and was one of the disbelievers." Qur'an haisemi kwamba we said to the angels and Satan to bow down, inasema we said to the angels to bow down. Na kama Satan siyo jina maana yake ni ushetani au kupinga, basi itamaanisha angel mmoja alifanya kupinga.

Kwa kiswahili kulingana na tafsiri ya Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani. Sura 2:34 inasema "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."
(Qur'ani Tukufu)
Hapo inaonyesha wazi kwamba iblis alikuwa malaika lakini miongoni mwa hao malaika iblis alikataa akawa muasi.

Narudi kwenye swali lako kama shetani ni kiumbe. Ndiyo shetani ni kiumbe kama malaika aliyekataa kumtii Allah akawa kafiri. Shetani, iblis na jini ni kitu kimoja.
 
Hakuna aya uliyotoa inayosema shetani ni kiumbe.
 
Hakuna aya uliyotoa inayosema shetani ni kiumbe.
Kama Jini ni kiumbe aliye umbwa; Na Shetani ni Jini (mkuu); Basi shetani pia kaumbwa! Maandiko yako wazi

Shetani ni Iblis na Iblis ni Jini
Iblis ni Satan, na Satan ni shetani.
Malaika wote walisujudu isipokuwa malaika iblis/shetani

[emoji116] Malaika muasi Iblis
Sura 2:34 inasema "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."
[emoji116]Kiingereza Iblis ni Satan
Sura 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan. He refused, was arrogant, and was one of the disbelievers.
[emoji116]Jini ni upepo umoto "mapepo"
Jini aliumbwa katika Sura 15:27. "Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto."
 
Unatoa maelezo halafu unatoa andiko ambalo halisapoti ulichokieleza.

Lete andiko linalosema Shetani aliumbwa basi.
 
Wewe jamaa acha kuzunguka mbuyu kubali au ukatae majini ambayo ndo mashetan ni maisilamu menzenu na yanamwabudu allah (satan) ambaye ndo lucifer
Mi sipo kwenye kukashifu imani za watu.

Malaika wanaoasi mnawaita majini/mashetani sasa mbona binadamu wanaoasi hamuwaiti majini/mashetani?
 
Mi sipo kwenye kukashifu imani za watu.

Malaika wanaoasi mnawaita majini/mashetani sasa mbona binadamu wanaoasi hamuwaiti majini/mashetani?
binadamu wamepewa nafasi ya kutubu na Mungu je mashetani/majini yamepewa nafasi ya kutubu ? yanasubiri hukumu ndiyo maana yanadanganya watu ili yapate wafuasi wakuingia nayo motoni.
 
Mi sipo kwenye kukashifu imani za watu.

Malaika wanaoasi mnawaita majini/mashetani sasa mbona binadamu wanaoasi hamuwaiti majini/mashetani?
binadamu wamepewa nafasi ya kutubu na Mungu je mashetani/majini yamepewa nafasi ya kutubu ? yanasubiri hukumu ndiyo maana yanadanganya watu ili yapate wafuasi wakuingia nayo motoni.
 
binadamu wamepewa nafasi ya kutubu na Mungu je mashetani/majini yamepewa nafasi ya kutubu ? yanasubiri hukumu ndiyo maana yanadanganya watu ili yapate wafuasi wakuingia nayo motoni.
Hujajibu swali la msingi kwanini binadamu anayeasi hamwiti shetani/jini?
 
Mi sipo kwenye kukashifu imani za watu.

Malaika wanaoasi mnawaita majini/mashetani sasa mbona binadamu wanaoasi hamuwaiti majini/mashetani?
Unaongelea vitu viwili tofauti. Siyo sisi tunao hamua muasi maliaka au mausi binadamu tumwite nani. Anaeamua ni Allah kwenye Quran tukufu au Mungu wa kweli kwenye biblia.
Unatakiwa wewe binafsi ujiulize, je Quran au biblia inamwita binadamu muasi nani? Siyo kulalamika tu, mbona elimu hipo ya bure kutoka kwa Allah!
 
Tatizo pia na wewe umetuhadithia hujatuletea ushahid
 
Majini wameumbwa na Mola mlezi,wameumbwa kwa moto.Majini wamepewa uwezo wa kujibadilisha katika maumbile kadha wa kadha,na majini hupenda kujibadili katika umbile la nyoka mweusi au mmbwa mweusi,ila kuna umbile ambalo kwalo majini hawawezi kujibadili kwalo.

Makazi ya majini sansa ni katika mapango,miti na milimani.Huwa wanapendelea sana kujitafutia chaula chao katika majalala,pia huwa wanakula mifupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…