Duh! Pliz pliz ondoa neno 'washirika' mkuu, weka ndugu zao. Nao ushirika ni mkubwa kuliko udugu. Hivi hawa jamaa wana macho kweli? Nikiwa wazi saana, nitasema mashaka niliyonayo juu ya uislamu,.sema sidhani kama kuna muislamu atakaye kuwa huru kunisikiliza.[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Wewe sjui kama uko makini na unachoandika,kuwa na dalili ya kuwepo majini katika biblia haiondoi madai ya waislam kufungamana nayo.kikubwa uelewe majini na viumbe aina hiyo wana tafsiri gani kwa wakristo.
Kwa andiko wazi quran inawataja kuwa wamejisilimisha kwa mtume wa allah hivyo ni waislam.je hawa sio waumin wa allah???!sio washirika wenu???
Hapo tuko pamoja, si viumbe dhaifu kama ng'ombe hata wafugike. Hata hao tuwaonao ni waovu, wanaowatumia si kuyafuga ni kuyasii washirikiane nayo tu. Ndo maana huwalipa na kuyatii wavitakavyo, eg chinja mbuzi, kuku nk.Nilichomaanisha hapa ni ile dhana waliyonayo wengi kwamba uislamu una uhusiano wa kufuga Majini.Hili sio kweli.Uislamu upo pamoja na yule anayefuata kwa dhati taratibu na desturi za kiislamu.Sasa majini waasi ambao ni mashetani,uislamu hauwatambui.Na kwa wanaadamu halikadhalika ni hivyo hivyo.
Kwahiyo hata yale majin yaliyosilimu ni maislamu lakin hayaishi kiisilamu nieleweshe ndugu plsTatizo ni kwamba kuwa muislamu na kuishi kiislamu ni mambo mawili tofauti;iwe kwa majini au wanadamu.
Kaka nakuona unavyoshuka vizuri kwa maswali reasonable yasiyohitaji mwanga wa jua kuyajibu.lakini sioni jibu sjui tatizo nini????Duh! Pliz pliz ondoa neno 'washirika' mkuu, weka ndugu zao. Nao ushirika ni mkubwa kuliko udugu. Hivi hawa jamaa wana macho kweli? Nikiwa wazi saana, nitasema mashaka niliyonayo juu ya uislamu,.sema sidhani kama kuna muislamu atakaye kuwa huru kunisikiliza.
Nawapenda mashahidi wa Jehovah, wako huru kwa lolote uwaambialo. Embu tumuombe mmoja huru ajitokeze.
Je unajuwa nini maana ya Shetani ??kaka soma nukuu kaka, sijakurupuka kuleta haya hapa, pinga hoja kwa hoja, unangangania kuwa ni sifa ya shetwani wakati mwaingia msikiti na mashetwani? LETE HOJA KAKA, SIO VIOJA.
KAKA taratibu, mbona nishaeleza yote huko juu? kama wewe unajua zaidi au tofauti, jibu hayo maswali yako hapa na weka na nukuu toka kwenye kitabu chenu. PINGA HOJA KWA HOJAJe unajuwa nini maana ya Shetani ??
Je unajuwa nini Maana ya Jinni ??
Je unajuwa tofauti ya Jinni na Shetani ??
Je unajuwa Msingi/Taratibu na miongozo wa Imani ya Uislam ??
Fanya utafiti wa Jambo kabla ya kukurupuka na kujenga hoja zenye upotofu mkubwa "Acha kubeba sifa za SHETANI"
Kiongoz unalipinga neno la allah kwani ni uongo wanawake hawaruhusiwi kuingia mskitini wakiwa hedh kwa sababu mskitini kuna majin maana ni maisilamu na chakula cha hayo maislamu menzenu ni damu na udiKwa hakika hujuwi unacho kizungumza na pia unaleta upotofu mkubwa ambao umejaa fitina ya hatari. Kwa hakika Hii ni sifa ya Shetani.
Hapana mkuu! Hapa hatuongelei uchamungu. Tunaongelea kanuni tu. Je kuna majini? Je ni viumbe vya namna gani? Je wana imani wanayoiamini?wana Mungu (wachamungu) nk. Mengineyo hapana, hata mi nawe inawezekana si waumini wa hizi dini, tunaziongelea tu coz tunazijua, zimetukuza.Tatizo ni kwamba kuwa muislamu na kuishi kiislamu ni mambo mawili tofauti;iwe kwa majini au wanadamu.
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)Inawezekana yote uliyoyaongea yana ukweli, ila hujajibu why yajifungamanishe na uislamu? Mkuu mi ni mzaliwa wa maeneo tofauti kikabila na kimazingila, jamii yangu nyingine ni ya Kikristu, ukristu pure. Huko hatukujuaga kama duniani kuna dini nyingine zaidi ya ukatoliki tu.
Ila na wale wenye majini huwaamrisha kufanya yapatanayo na uislamu. Hata kwa waganga wa kienyeji waso na dini kabisa. Wanautii uislamu ktk baadhi ya mambo. Why?
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)Inawezekana yote uliyoyaongea yana ukweli, ila hujajibu why yajifungamanishe na uislamu? Mkuu mi ni mzaliwa wa maeneo tofauti kikabila na kimazingila, jamii yangu nyingine ni ya Kikristu, ukristu pure. Huko hatukujuaga kama duniani kuna dini nyingine zaidi ya ukatoliki tu.
Ila na wale wenye majini huwaamrisha kufanya yapatanayo na uislamu. Hata kwa waganga wa kienyeji waso na dini kabisa. Wanautii uislamu ktk baadhi ya mambo. Why?
Acha kupotosha , Acha kubeba sifa za Shetani Msikiti ni eneo takatifu hairuhusiwi kuingia ndani ukiwa mchafu hata wewe ukiwa na uchafu/Janaba ni haramu kusali na kuingia msikitini hivyo hoja yako ya Kishetani haina mashiko zaidi ya kupandikiza uongo wa kufurahisha baraza. Hongera sana kwa kubeba sifa za "SHETANI"Kiongoz unalipinga neno la allah kwani ni uongo wanawake hawaruhusiwi kuingia mskitini wakiwa hedh kwa sababu mskitini kuna majin maana ni maisilamu na chakula cha hayo maislamu menzenu ni damu na udi
Propaganda hizo zinaenezwa na nani coz kuna waislamu wenye majini na ndo waliowengi kihome tunaita marohani? Mengine yote nimeshakujibu nadhani, si kwa wazungu tu hata waafrika wasonadini, waganga wa matunguli.... pia huutii uislamu. Fanya research ndogo tu, nenda kwa mganga wa matunguli siku ya ijumaa,atakuambia no, leo si siku yakufanya kazi.Ni propaganda tu,kama wangekuwa wanafungamana na uislamu,biblia ilikuja kwanza kabla ya Qur'an,mbona wametwaja ndani ya biblia,na wakati yakitajwa na yakijulikana yapo,huko ilikoandikwa biblia kulikuwa hakuna muislamu hata mmoja.
Na ikiwa wako kwa waislamu tu,wazungu ambao ni wakristo walipaata wapi neno devil.
Kwahiyo wewe ukisikia nabii au roho mtakatifu ndo tiari unajua ni mkristoMkuu wale manabii wanao waambia waumini wale majani au kuwapulizia dawa ya mbu kwa kudai ni ameambiwa na roho mtakatifu, je unafikiri ni kweli roho mtakatifu anaweza akaelekeza kufanyika hivyo au ni shetani?
Kwahiyo ibilisi ndiyo huyo huyo shetani, lakini hawa waislamu wanadai ni tofauti. Tatizo jamaa hawa wanaitetea Qur'an yao kiasi cha kushindwa kujiuliza maswali juu ya kitabu wanachokiami kama kina make any sense. Sisi wakristo tunaelewa Qur'an ni kitabu full of contradictions, confusions and unreadable.Uf. 12:7-12 “Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.”
Shetan yuko msikitini wanakosali majini si kwanguAcha kupotosha , Acha kubeba sifa za Shetani Msikiti ni eneo takatifu hairuhusiwi kuingia ndani ukiwa mchafu hata wewe ukiwa na uchafu/Janaba ni haramu kusali na kuingia msikitini hivyo hoja yako ya Kishetani haina mashiko zaidi ya kupandikiza uongo wa kufurahisha baraza. Hongera sana kwa kubeba sifa za "SHETANI"
Shetan mkubwa ni allah alikuandalia mito ya pombe na bukira 72Acha kupotosha , Acha kubeba sifa za Shetani Msikiti ni eneo takatifu hairuhusiwi kuingia ndani ukiwa mchafu hata wewe ukiwa na uchafu/Janaba ni haramu kusali na kuingia msikitini hivyo hoja yako ya Kishetani haina mashiko zaidi ya kupandikiza uongo wa kufurahisha baraza. Hongera sana kwa kubeba sifa za "SHETANI"