Umejitaidi kuandika maelezo marefu lkn hakina ukwel wowotewewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.
TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.
NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Kumekucha,kitivo cha uongo na porojo kimeingia jamvini.Majini hawaonekani mara wanaonekana,Tawire!!.Ntajaribu kijibu, =Majini ni viumbe kma ss na hawaonekani ila ukiwataka kwa sababu zako mwenyewe utawaona na wala hawna nguvu yoyote ukijisimamia,pia wanaishi maisha kama haya ya kwetu wanaona na wanazaana na wapo kikoo na wana dini zao tofauti na hizi wanatawala zao kama serikali pia wapo matajiri na maskini kama sisi na mavazi yao ni kama muundo Wa joho(kanzu) kwa wanaume na wanawake uvaa juba(baibui) hayo ni mavazi ya watu Wa kale waliokua wakitumia Ila rangi za mavazi utofautiana,wameubwa kwa miale ya moto ,,niishie hapo.
Haya bwanaMajini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Muulize agano la kale wanaloita torat wapi wameandika majini yaliumbwa. Wakati kwenye Biblia hiyohiyo imeandikwa tena toka torat inasema Majini asili yao ni mashetani msiabudu nayo wala kuyatolea sadaka maana ni jeshi la yule muovu. Wapi imesema majini yamsujudie Mungu wakati wale ni kundi la uasi pamoja na luciferUmejitaidi kuandika maelezo marefu lkn hakina ukwel wowote
Nathan wanajamii forum mtakubaliana na mm kwamba hakuna jini linalo mwabudu mungu according to bible takatifu
Kwenye biblia ile Isaya 14:14 Inamzungumzia nani ?Uhuru jr. Kwa maelezo ya kidini zote, malaika na majini hayazai, kuumwa, kuzeeka wala kufa. Uislamu, majini yako na majina 99 tangu mwazo na hayabadilishiki. Jibril (Gabriel) ni yuleyule tangu asili. Hiki si cheo na ndo maana hakutokea tena malaika wa NURU mwingine (LUX Light FER bearing). Mika-er, Gabri-er au Rafa-er ni walewale daima dawamu. Ni maswala ya kiimani lakini. Changanya na imani zingine si Ibrahism tu kuupata ukweli.
Umejibu vyema saana Mkuu! Kwa kuongezea hapo tu hata shetani alikuwa ni malaika wa Mungu akiwa na jina la Lucif -EL. Hadi hapo watakuwa wameelewa kidogo na watajua kitabu kipi kina mapungufu.Malaika wote ni wajumbe wa mungu,,,na wote wana ubin wa mungu,,, Micha'El,, Gbrie'El hii El ni kifupi cha Eloheem ambapo eloheem ni mungu
Iyo n kutokana na maelezo yako ulio yatoaMuulize agano la kale wanaloita torat wapi wameandika majini yaliumbwa. Wakati kwenye Biblia hiyohiyo imeandikwa tena toka torat inasema Majini asili yao ni mashetani msiabudu nayo wala kuyatolea sadaka maana ni jeshi la yule muovu. Wapi imesema majini yamsujudie Mungu wakati wale ni kundi la uasi pamoja na lucifer
Sio rahisi kuamini ikiwa tayari una ulinzi wajini tangu umezaliwa mtume Mud anasema kila mtoto wa kiislam azaliwapo ana ulinzi wa jini .wakristo tuzaliwapo tuna ulinzi wa Malaika huoni kunatofautiIyo n kutokana na maelezo yako ulio yatoa
Mmmmmh! Chullo,, hata ulevi ni pepo nalo ndugu? Haya, ila nikurekebishe kidogo, (natuumbe mtu kwa mfano wetu) Mungu hakuwa akizungumza na akina Adamu, yalizungumzwa kuhusu uumbaji wake yeye Adamu.Ndg hao malaika wakiongozwa na mkubwa wao lusifer ni mara baada ya Mungu kumuumba Adamu,akamwambia Adamu ntakuletea msaidizi wa kufanana na ww....Ndipo akamwambia Adamu na tuumbe mtu kwa mfano wetu! Hii kauli haikumpendeza lusifer kwani yy wakati huo alikuwa ndo malaika mkuu,akahoji kwann hakushirikishwa? Ndipo alipotangaza uasi na Mungu kuna wachache waliomfuata na wengine hawakuasi,ndo hao akina Gabriel na wengineo kwa hiyo neno shetani limekuja baada ya uasi lkn walikuwa malaika wazuri tena lusifer alikuwa mkuu wao!
Kuhusu kuwa na nguvu ndio wanazo lkn za giza ndo hawa unakuta mtu ana pepo la ngono,la ulevi nk,naomba niishie hapo!
Hata ilo agano lakale unalosema hamna sehemu inazungumzia uumbaji wa maraikaMuulize agano la kale wanaloita torat wapi wameandika majini yaliumbwa. Wakati kwenye Biblia hiyohiyo imeandikwa tena toka torat inasema Majini asili yao ni mashetani msiabudu nayo wala kuyatolea sadaka maana ni jeshi la yule muovu. Wapi imesema majini yamsujudie Mungu wakati wale ni kundi la uasi pamoja na lucifer
Ila kumbuka majini ya naishi dunian na malaika wapo kwa munguSio rahisi kuamini ikiwa tayari una ulinzi wajini tangu umezaliwa mtume Mud anasema kila mtoto wa kiislam azaliwapo ana ulinzi wa jini .wakristo tuzaliwapo tuna ulinzi wa Malaika huoni kunatofauti
Acha uwongo hapa imesema ya kua Mungu aliisha ijua fikra ya Lucifer hivyo ili kumuumbua mbele za malaika akaitisha kikao cha malaika wote akisema basi tuumbeni mtu kwa mfano wetu baada ya kuumbwa Mungu akasema wamsujudie lakini Lucifer na wenzie hawakusujudu baadae Mungu akamuuliza mbona haukusujudia Lucifer akasema hawezi kusujudia bina adamu alie umbwa kwa tope hapo ndipo Mungu akamlaani nakumfukuza yeye na wafuasi wake ambao leo ni mapepo. Wakristo wapi wamesema kua Lucifer alikua ameasi kabla ya Adam kuumbwa Adam tuletee andiko. Nasuala lakua na mapepo ya ulevi,ushirikina na dhambi zingine hiyo nikweli kila mtu anapepo lake wengine ni muziki au ngoma utakuta akisikia ngoma mpaka nguo anavua au akisikia muziki mapigo ya moyo yana badilikaMmmmmh! Chullo,, hata ulevi ni pepo nalo ndugu? Haya, ila nikurekebishe kidogo, (natuumbe mtu kwa mfano wetu) Mungu hakuwa akizungumza na akina Adamu, yalizungumzwa kuhusu uumbaji wake yeye Adamu.
Shetani ktk Ukristu alishakuwa muhasi hata kabla ya uumbaji wa Adam. Kumbuka Adamu aliishi miaka mia kadhaa pasi na Eva, na Mungu alitumia miaka elfu sita ktk uumbaji wake na wa elfu saba akapumnzika.
Lakini pia, elimu juu ya namba hapa inatuhusu sana. 7,40,6,nk.
Kumbe tupo pamojaIla kumbuka majini ya naishi dunian na malaika wapo kwa mungu
C THAN KAMA MTT MDOGO NKWEL ANALINDWA NA MAJINI AU MAPEPO KWA RUGA RAHISI ILA SEMA KWASAB N DINI TOFAUT
KAMA CKOSEI WAISLAM MNAWATUMIA HAWA MAJN
Jibu swali kama haujui chochote tulia,Kwahyo unapingana na Kitabu kitukufu Mkuu, Quran? Napita tu.
Haija zungumzia kiundani bali imesema waliumbwa kwa ndimi za motoHata ilo agano lakale unalosema hamna sehemu inazungumzia uumbaji wa maraika
Kiufup majin na mapepo nimalaika ambao walikuwa mbingun baada ya kuasi nakiongoz wao Lucifer wakatupwa dunia
Kama hujaelewa na apo unapaswa kupigwa risasi upoteze maisha
SIPENDAGI UJINGA
Kipi nisichokijua hapo? Post yangu ilishajibu yote hayo.Jibu swali kama haujui chochote tulia,
Sasa utatoaje majini msikitini wakati ni maislam!!!hujui hata unachoandika sheikh.Majini yapo kanisani na kwa wanganga wakienyeji tu, huko ndio kila siku hutolewa lakini msikitini hakuna ibada ya kutoa majini.
Neno kusujudu(kumuadhimisha)sio kusujudu kwa vitendo.Hawa watu lazima wawepo tu mkuu,, ila kila mtu atabanwa humu kulingana na akiaminicho. Kwanza ilikuwaje jini liishi Mbinguni likiwa na cheo kikubwa, lakini pia kwann lijenge bifu na wanadamu tu. Na je majini wasomcha Mungu nani anawapotosha?
Kwasababu kwa mujibu wa Quran, Shetani kosa lake ni kukataa tu kumsujudia Adam,sa kama shetani alijenga bifu kwa hilo tu,, kwanini na nduguze waende motoni? Tukumbuke asili ya dhambi ni shetani pekee.
Halafu, uislamu unasema Mola pekee ndiye apaswaye kuabudiwa na kusujudiwa, kiaje sasa Mola amuamuru Ibilisi kumsijudia Adamu? Huyu Mungu ni kigeugeu au?
Kasema kila binadamu akizaliwa anakuwa na jini(sio kila muislamu tu).Ndio maana huko makanisani mwenu,kutwa mnatoana majini,na hawatoki.Huoni kama maneno yake ni kweli.Kama majini yangekuwa kwa waislamu tu,hayo mnayotoana makanisani ni malaika?Sio rahisi kuamini ikiwa tayari una ulinzi wajini tangu umezaliwa mtume Mud anasema kila mtoto wa kiislam azaliwapo ana ulinzi wa jini .wakristo tuzaliwapo tuna ulinzi wa Malaika huoni kunatofauti
Uliona msikiti gani watu wakatoana majini,ni kuwa hakuna.Lakini kanisani matoana majini,lakini haweshi ndio wanazidi.Sasa utatoaje majini msikitini wakati ni maislam!!!hujui hata unachoandika sheikh.