Je, Akili Kubwa ilitumika kuamua Hostels za Magufuli ziwe za Wanakarantini wa COVID-19 au Mamlaka ilikurupuka tu?

Chuo kimefungwa ,wewe kama unang'ang'ania kukaa hostel kwa kuogopa kurudi kwenu kuchunga ng'ombe usitusumbue,katafute mtu wa kukubeba mtaani.

UDSM ina hostel nyingi kama haujui kuna Halls 1,2,3....7 pale Campus
Blocks A,B,C,D....E pale mabibo
Hizo ndio hostel kongwe kwa sasa zipo wazi tu.Hata tukisema chuo kifunguliwe leo bado hakutakuwa na uhaba wa vyumba,harafu vijana wa UDSM no talented hata wakisema wafanye karantine ile mabibo hostel nayo vijana wanajua jinsi ya kucheza na hesabu na wakatosha wote Campus.Sasa nakushangaa unavyooji swali la kijinga kama hilo.

Umemaliza au bado?
 
Gentamycn natamani nikukosee adabu. Kama vyuo vimefungwa sababu ya corona maana yake hakuna mwanafunzi atarudishwa chuoni as long as corona haijaisha tanzania. Logically doesnt apply. Ni kwamba ili wanafunzi warudi kwenye hizo hostel maana yake corona itakuwa imeisha na hakutakuwa na mtu carantin. Nafikiri sasa umeona kwamba aliyeamua kuzifanya carantin zone hizo hostel ana akili mara milioni zaidi yako.
Siku ingine usilete mihemko ya kichadema kwenye issue serious bro. Unakosea sana. Haya mambo yasiyo na intelectual uwe unapeleka facebook na insta.
GENTAMYCINE nauliza hivi leo hii Serikali Kuu ikija na Tamko la Jumla kuwa Shule zote na Taasisi za Elimu ya Juu ( Hostels hizo za Magufuli ) zilizo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )ikiwemo Wanafunzi waliokuwa wakikaa hapo wataenda Kuishi wapi?

Je, Mamlaka iliyoamua hili la Hostels za Magufuli kuwa za Wanakarantini wa CORONA ( COVID-19 ) ilikaa Kitako na Wizara husika ya Elimu nchini Tanzania ndipo wakaja na haya Maamuzi au ni Mwendelezo wetu ule ule wa Waswahili wa Kukupenda Kukurupuka na Kufanya mambo ya Zimamoto?

Nauliza tena je, Akili Kubwa ilitumika katika Kuliamua hili au ni Akili tu za ' hovyo hovyo ' ndizo zilitumika?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe GENTAMYCINE ni mwana CHADEMA na kumbe Mtu ' Akikosoa ' Jambo fulani la Kiutendaji na Kiserikali anaonekana ni Mpinzani mwana CHADEMA? Kama Wewe ni mwana CCM Mwenzangu basi naanza kuona kuwa hivi sasa ndani ya CCM yetu tuna ' Warithi Waandamizi wa Upumbavu ' wengi kuliko ilivyowahi kuwa na ambapo hata huko katika Vyama vya Siasa unakokudharau Wao ( Wenzetu ) wana afadhali.
 
Kuwa popoma ni kipaji sana, jivunie hilo bwashee... kwa majibu ya wajuvi humu ungekuwa na akili japo ‘kiduchu’ ungeomba uzi huu unyofolewe.
 
GENTAMYCINE nauliza hivi leo hii Serikali Kuu ikija na Tamko la Jumla kuwa Shule zote na Taasisi za Elimu ya Juu ( Hostels hizo za Magufuli ) zilizo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )ikiwemo Wanafunzi waliokuwa wakikaa hapo wataenda Kuishi wapi?

Je, Mamlaka iliyoamua hili la Hostels za Magufuli kuwa za Wanakarantini wa CORONA ( COVID-19 ) ilikaa Kitako na Wizara husika ya Elimu nchini Tanzania ndipo wakaja na haya Maamuzi au ni Mwendelezo wetu ule ule wa Waswahili wa Kukupenda Kukurupuka na Kufanya mambo ya Zimamoto?

Nauliza tena je, Akili Kubwa ilitumika katika Kuliamua hili au ni Akili tu za ' hovyo hovyo ' ndizo zilitumika?

Nawasilisha.
Kwani hapo kuna watu wanaoishi hapo milele....? Tumia akili vasi eboooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anaweza kupoteza dignity yake kutokana na jambo dogo sana. Ukikutana na maneno (ujumbe wa kuudhi) yasiyokufurahisha, usihamaki wala kuingia mihemko, ipe nafsi yako uvumilivu na staha, hapo hekima itatawala na kutoa jibu litakalolinda dignity yako.
 
Back
Top Bottom