Je akifa changudoa?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
akifa sheik tunasoma dua usiku mzima, mlokole tunaimba na kusifu usiku mzima je akifa changudoa tunafanyaje?
 
kama alikua na dini/imani atafanyiwa taratibu za imani yake wangap wanafanya maovu wanafanyiwa taratbu itakua changudoa.
 
Ni kugegedana usiku kucha
Ndo jibu ulilokua unalitaka
Unawasemaga watu kua wao ni division 5 mi nahisi we ni division 10
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom