Je, wajua kwamba ndoa za utotoni ni moja ya kikwazo kwa wasichana kupata haki ya Huduma za Afya ya uzazi?

Binti 1

Member
Dec 1, 2018
28
64
Ndoa za utotoni ni mojawapo ya sababu zinazopelekea wasichana kukosa haki ya huduma za Afya ya uzazi. Unajua kwanini?

Ni kwa sababu wasichana wanakua hawana haki ya kufanya maamuzi juu ya miili yao wenyewe na badala yake wanaume watakaowaoa ndiyo wanakua na maamuzi hayo.

Je, tunafanyaje kukomesha ndoa za utotoni?
 
Huo unaitwa umalaya wakataa kuolewa ili ukadange upate pesa
 
Back
Top Bottom