Jay Dee Picture

Jay dee ni jina la kisanii,ingekuwa zimeandikwa Judith Mbibo Wambura angalau,Buy Jay dee is not registerd name so anybody can use with no offence...

Mundele, wakati Mike Jordan alipokua kua Juu katika Kikapu kule USA, alibatizwa jina Mike "AIR" Jordan, wakati huohuo Nike ikaingia mkataba na Chicago Bulls, katika hali isiyotegemewa wakatengeneza Raba zilizoongezwa neno Nike Air, kwa ajili yake, kwa taarifa yako, amekua akila bingo ya mamilioni ya pesa kwa Nike kutumika neno air, na ukumbuke jina hilo ni jina la utani.
futa mawazo ya kutumia majina bandia ya watu , yatokanayo na ubunifu wao, utalipa pesa mingi.
http://en.wikipedia.org/wiki/Michael_Jordan
 
Wachina kweli wamelishambulia soko. Siku hizi huko kwenye viwanja eti mtu akianza tu kujazia wanasema "la mchina hilo"!
 
Unaweza kuwa tempted kununua printer mpya kila wino ukiisha !

Nadhani hii inaweza kupunguza tatizo la bei 'mbaya' za wino, kwa sababu printa zote zinakuja na wino (cartridge) mpya!
 
Mchina ni kiboko

Ziko za majina anuwai hizo piki piki. Mfano, zilizopo mitaani Tanzania kwa sasa ni, Kiboko, Chuma, Mkombozi, Kifaru, Jinyee, Toyo n.k. Hizi zote zinapatikana Kariakoo ambako ndizo zilipo "Assembling Plants" nyingi za pikipiki za Wachina.
 
Kwani hata kule kunako geshi la nchi hiii. Kure kira mutu ni mwanageshi walikataa kutoa nauli kwa rire rigari rimeandikwa TATA! Kisa ni Rigari ra TATA inakuwaje walipishwe nauli?
wanajeshi hulipa nauli?

outta whack
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom