Habari wanajamvi!
Natafatuta jaw crusher yenye uwezo wa kusaga kati ya tani tano (5) mpaka ishirini (20) za mawe kwa siku. Hii ni kwa matumizi ya mchimbaji mdogo. Kama unayo au msaaada wa kunielekeza kwa kuipata popote Tanzania tafadhari tukutane PM tuongee biashara.
Natanguliza shukrani!