frankgalos
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 223
- 100
- Thread starter
- #61
usijari very soonkielete bwana frankgalos kitabu hicho tudaulodi
usijari very soonkielete bwana frankgalos kitabu hicho tudaulodi
Mambo ya Networking , hongera.Programming kwangu imekaa kushoto kabisa....
Huwa najaribu kupitia pitia Java, Javascript, PHP, Python na C/C++ lakini waapi....
Mimi niko nduki sana kwenye issues za IP... Nakimbiza balaa....
VLAN, VPN, MPLS/VPN, DNS, DHCP, Firewall, MGW, UGW, HLR, HSS, OCS, GGSN, SGSN...
Ebanaeee niko fiti....
Programning language sio k2 kidogo, kwanza unaitaji compiler, Kisha language husika, hivyo vyote vina chukua Muda na elimu yakutosha.tungeni programming language yenu ya kiswahili hivi mfano neno selector utaliitaji
Programming language Ina exist kwaiyo huwezi kutunga kwenye kitu kilicho tungwa zaidi ya kuonesha uzoefu wako wa icho kitu.ww unatunga au una tafsiri
wewe upo kinyume na mimi, mimi kwenye programmiong utaoba poo ila networking hapana.Programming kwangu imekaa kushoto kabisa....
Huwa najaribu kupitia pitia Java, Javascript, PHP, Python na C/C++ lakini waapi....
Mimi niko nduki sana kwenye issues za IP... Nakimbiza balaa....
VLAN, VPN, MPLS/VPN, DNS, DHCP, Firewall, MGW, UGW, HLR, HSS, OCS, GGSN, SGSN...
Ebanaeee niko fiti....
Kitugani hichoTufanye kitu hapa kwa watu wa ICT.
Huu uzi tuupe nguvu, programmers, developers,l na watu wa networking tukutane hapa kwa msaada na ushauri kuhusu hii field yetu. Ili tukue tunahitaji kusaidiana.Kitugani hicho
hapo uwesema kweri, sio javascript tuu kuna watu wanajua language tofauti tofauti lakini wanashindwa kuonesha ujuzi wao kwasababu ya kukatishwa tamaa, wakati hivyo vitu vipo na vinapita, kwaiyo karibuni kutoa maoni kuonesha ujuzi wenu huku mimi nikiendelea kukihariri hiki kitabu. na kikitoka kutakua na advanced knowledge kwaajiri ya hiki kitabu jinsi ya kutengeneza customs things n.k.Huu uzi tuupe nguvu, programmers, developers,l na watu wa networking tukutane hapa kwa msaada na ushauri kuhusu hii field yetu. Ili tukue tunahitaji kusaidiana.
Machine learning na artificial intelligence field nzima zote hizo auMimi hayo yote uliyoyataja sijui hata moja. Mambo yangu ni C++, Octave/ Matlab na Python. Interested zaidi na MACHINE LEARNING na ARTIFICIAL INTELLIGENCE
Fanya mambo utuletee iyo nakalaMwaka huu nime barikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya kichwa changu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu.
Lengo la kuandika hiki kitabu ni kwasababu watu wengi wanapenda kufanya au kutengeneza programu za kwao nasio kutumia source code za wengine sema wanashindwa kutokana na elimu waliokua nayo juu ya hicho kitu wanacho kitengeneza ni ndogo hivyo kuwa nauwezo wakuelewa unachokifanya ndipo unapokuja kutengeneza chako.
Hiki kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili kabisa na pia kitakua rahisi sana kwa msomaji kwani javascript ni rahisi kuisoma na kuielewa.
Natumaini kikiisha ntapata marafiki wengi ambao wanapenda sana keyboard kuliko kulala.
Hivyo kama unapenda kuongeza ujuzi au kujua javascript karibu kwani elimu haina mpaka hii ni kwa watu wote waliokua interested na programing in javascript.
View attachment 490436
Usiho utakua kwenye tag list kikiishaFanya mambo utuletee iyo nakala
Mkuu umeuliza maswali mazuri na yenye hoja. Lakini mimi nina mtazamo tofauti kidogo na wa kwako. Nafikiri huo ndio mwanzo mzuri wa kuandaa library, language constructs, API na documentation za JavaScript kwa lugha ya kiswahili kama ilivyo kwa kichina, kijerumani, kijapani, n.k. Tuanzie hapa kisha tuende hatua nyingine. Anaweza kuhamasisha developers kutengeneza JavaScript engine (interpreter) ya lugha ya kiswahili ikatumika kwa browser mbalimbali. Mwanzo mzuri tumtie moyo tu.Unamfundisha mtu language kwa lugha ya Kiswahili ilhali Javascript yenyewe ni primarily English! Error messages zote atapewa in English! The language constructs, API and documentation are primarily in English!
Why did you think this would be a good idea?