Mwaka huu
nime balikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya
kichwachangu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu.
Lengo la kuandika hiki kitabu
nikwasababu watu wengi wanapenda kufanya au kutengeneza program za kwao nasio kutumia source code za wengine sema wanashindwa kwasababu elimu waliokua nayo juu ya
hiko kitu wanacho kitengeneza ni ndogo
kwaiyo kuwa nauwezowakuelewa na unachokifanya ndipo unapokuja kutengeneza
chakwako.
Hiki kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili kabisa na pia kitakua
laisi sana kwa msomaji kwani javascript ni
raisi kuisoma na kuielewa.
Natumaini kikiisha ntapata marafiki wengi ambao wanapenda sana keyboard kuliko kulala.
Kwaiyo kama unapenda kuongeza ujuzi au kujua javascript karibu kwani elimu
hainaga mpaka hii ni kwa watu wote waliokua interested na programing in javascript.
Hongera mkuu, kwa kujaribu.
Lakini kwa huu uandishi wako kuna nakosa mengi sana ya maneno, hivyo hunabudi kufanya uhariri mkubwa sana kabla kuchapisha na ku upload hicho kitabu chako.
View attachment 490436