Mwaka huu nime balikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya kichwachangu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu.
Lengo la kuandika hiki kitabu nikwasababu watu wengi wanapenda kufanya au kutengeneza program za kwao nasio kutumia source code za wengine sema wanashindwa kwasababu elimu waliokua nayo juu ya hiko kitu wanacho kitengeneza ni ndogo kwaiyo kuwa nauwezowakuelewa na unachokifanya ndipo unapokuja kutengeneza chakwako.
Hiki kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili kabisa na pia kitakua laisi sana kwa msomaji kwani javascript ni raisi kuisoma na kuielewa.
Natumaini kikiisha ntapata marafiki wengi ambao wanapenda sana keyboard kuliko kulala.
Kwaiyo kama unapenda kuongeza ujuzi au kujua javascript karibu kwani elimu hainaga mpaka hii ni kwa watu wote waliokua interested na programing in javascript.
View attachment 490436