frankgalos
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 223
- 100
Mwaka huu nime barikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya kichwa changu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu.
Lengo la kuandika hiki kitabu ni kwasababu watu wengi wanapenda kufanya au kutengeneza programu za kwao nasio kutumia source code za wengine sema wanashindwa kutokana na elimu waliokua nayo juu ya hicho kitu wanacho kitengeneza ni ndogo hivyo kuwa nauwezo wakuelewa unachokifanya ndipo unapokuja kutengeneza chako.
Hiki kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili kabisa na pia kitakua rahisi sana kwa msomaji kwani javascript ni rahisi kuisoma na kuielewa.
Natumaini kikiisha ntapata marafiki wengi ambao wanapenda sana keyboard kuliko kulala.
Hivyo kama unapenda kuongeza ujuzi au kujua javascript karibu kwani elimu haina mpaka hii ni kwa watu wote waliokua interested na programing in javascript.