Soko la hisa DSE kwa nini mliingiza JATU

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,723
Sishangai kusikia JATU imeingizwa tena kwenye taasisi kubwa yenye dhamana na hisa za watu.
mwaka jana nilishangaa kuona watu kama mfano wa JATU wanakodi jengo ni la serikali,pili jengo ilo kuna idara za mapato TRA na likizungukwa na TAKUKURU,mkuu wa wilaya,makao ya polisi na halmashauri idara zote.

Je mpaka sasa kuna barua gani au ujumbe mliowaambia wateja kuhusu ili la JATU na bado mnaweka kwenye soko lenu kuwa hipo.
Sheria za uwekezaji hisa zinasema kampuni ikifilisika basi na wewe utakuwa umefilisika.

IMG_0623.jpg
 
Back
Top Bottom