GE2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

GE2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Ni bora kichwani kuwe na mchanga, kuliko kichwani kujae MATOPE
 
wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.

lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
Matokeo yametok vip umefaulu kwanza?
 
Kuna mwanajamii forum alisema magufuli unaweza kumsema vibaya vyovyote ukiwa mbali ila ukibahatika kukutana naye utajikuta unapata upako wa kumkubali na kunsifia kama alivyofanya lowassa Leo.
 
Tuko pamoja hawaelewi na hawatelewa ulichokisema hao Mashabiki maandazi, Wape elimu kwanza majasusi ni kina nani?
Wasipojifunza in a soft way tutawafunza in a hard way
 
Back
Top Bottom