Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!

ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.

Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.

Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mkuu unabii umetimia. Mwana mpotevu karudi kwa babaye tutegemee mwana kuvishwa kanzu mpya safi, tafrija na kuvishwa pete. Hahaaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Sikuwa mfuatiliaji wa jf lakin nlikuwa na wazo kama hili hasa baada ya kusema ameshinda kwa 60% na akaukausha wasiwasi wangu uliongezeka maradufu ningeonaga hii thread ningepita kwa kuguna maana ina ka ukweli,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!

ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.

Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.

Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.

UPDATES:
Leo tarehe 1/3/2019 mwanaccm mwenye ushawishi nchini ndugu EDWARD NGOYAI LOWASSA amerejea CCM baada ya kuhamia CHADEMA mwaka 2015 nilipoandika thread hii.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Bravo mkuu.
Yametimia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ndo karud kwa mwenyekiti mpya sasa
wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.

lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
siasa za bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!

ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.

Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.

Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.

UPDATES:
Leo tarehe 1/3/2019 mwanaccm mwenye ushawishi nchini ndugu EDWARD NGOYAI LOWASSA amerejea CCM baada ya kuhamia CHADEMA mwaka 2015 nilipoandika thread hii.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Duh
 
Back
Top Bottom