Mbona hata Bourne Legacy kacheza mwengine Jeremi Renner?Tatizo muvi za james bond wamecheza wengi wakiigiza wao ni james bond, mi binafsi nilimwelewa Sean Connery tu, ila matt damon ni mzuri pia
James Bond ni Spy wa kujitegemeaJames Bond - Yeye anakula raha, piga sana miti, anakunywa vinywaji vizuri, anajitambulisha, anavaa vizuri na anaendesha magari mazuri mno, hes a gentleman but lethal and dangerous, na anafanya assignment zake vizuri...
Jason Bourne - Ana psychological problems, nyingi mno, kuanzia utoto wake, mafunzoni, jeshini na kazini, kila wakati kichwa chake chazunguka kama pia, combat to combat sidhani kama James Bond angemueza, Bourne kwa hilo tu yuko vizuri mno, pia anafanya kazi zake, siyo mtu wa maraha kabisa, mademu zake lazima wafe!
Ila wote wako vizuri, nawapenda kivyao...
Hata Superman, Batman na Spiderman imechezwa na wachezaji wengi tu.Tatizo muvi za james bond wamecheza wengi wakiigiza wao ni james bond, mi binafsi nilimwelewa Sean Connery tu, ila matt damon ni mzuri pia
Kuwa jasusi kitaani kwenu.Jason Bourne ni moto wa kuotea mbali aisee, alafu jamaa anatumia akili sana mpaka ananitamanisha nami niwe jasusi.
Matt Damon alichezaga "Great Wall"Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?View attachment 1477816
The great Wall[emoji91][emoji91]Matt Damon alichezaga "Great Wall"
Movie ni kali bhana!