Hata kwa Zena sijui kama alikuwa anapata..Uenda zilikuwa show off tu teh
Teh teh..Sina uhakika bro...Sema kwa zile harakati zake tu unakaona haka kajamaa hakajapata mambo mda mrefuDah, mkuu hapo umenifumbua macho, hivi inawezekana kweli.
Maana Zena alikuwa anampenda sana Dr, nakumbuka hata chanzo cha ugomvi wake na Betina ilikuwa Dr Love.
sunche na kapeto si wa sani hawa.wale mapacha mmoja aliitwa sunche na mwingine kapeto.bila kumsahau ndumilakuwili,bob makani,pampula,etc
Teh teh..Sina uhakika bro...Sema kwa zile harakati zake tu unakaona haka kajamaa hakajapata mambo mda mrefu
Wanachorwa na msanii aitwaye NOAH YONGOLO(The original)sunche na kapeto si wa sani hawa.
Evelyn salt alinambia kuna moja kalipewa dili ya kwenda kucheza porno..Kakafurahi ile mbaya..Kakajua leo ndo naenda kumaliza ugumu wote na watt wazuri..Kakaulizwa kalipwe sh ngapi..Akasema wala wasijali..ye hata bure atacheza tu..Akachukuliwa mpaka eneo la tukio..Kufika room akakutana na vipande vya watu vyenye miraba minne vinamsubiri...Alitoka nduki ndefu hatariHiyo kweli inawezekana, make kalikuwa kanafatilia mizigo hadi maeneo mabovu sana.
Ni bob mazishi mkali WA kipiga watu puu"hapo red labda ulitaka kusema bob mikwara wa jarida la bongo kama sikosei.
Dia tatizo mnachanganya jarida la bongo na sani.....Golden boy mapung'o wa bush stars
Lenye mpira si sani?Dia tatizo mnachanganya jarida la bongo na sani.....
Yote yana mpira......naomba nimsahihishe na mwingine hapa hakukua na Bob Makani/mikwara bali ni Bob Mazishi alikua anavaa miwani na kofia ya "Ojwang'Lenye mpira si sani?
Bi Mkora alikuwa katika gazeti la majira, siku hizi simuoniBi mkora je?
Akahamia majiraBi Mkora alikuwa katika gazeti la uhuru, siku hizi simuoni
Hahahaaa, acha tuMimi nilikuwa nachanganyikiwa kuona Madenge eti ni golikipa wa timu ya wakubwa wakati anasoma primary tena kama darasa la tatu tu.
Nilikuwa nachukulia kama issue ni za kweli yaani.
Hata mie nimesema mwanzo mipira ilikuwa kote, watu tunachanganyaYote yana mpira......naomba nimsahihishe na mwingine hapa hakukua na Bob Makani/mikwara bali ni Bob Mazishi alikua anavaa miwani na kifia ya "Ojwang'