Jarida la Sani limerudi sokoni

Sani wameamua kurudisha burudani kwa wapenzi kwa kuchapa gazeti lenye katuni tu za gazeti hilo(kipepe,watoto mapacha,lodi lofa n.k),je ni muamko wa kweli wa gazeti hili kongwe au?
wale mapacha mmoja aliitwa sunche na mwingine kapeto.bila kumsahau ndumilakuwili,bob makani,pampula,etc
 
hao
wale mapacha mmoja aliitwa sunche na mwingine kapeto.bila kumsahau ndumilakuwili,bob makani,pampula,etc
sunche na kapeto ni tofauti na sani,hao walichorwa na noah yongolo.mapacha wa sani ni wale machogo wajombazake na komredi kipepe.
 
Bush Stars walikuwa na Mzee Meko, nadhani timu nzima ndo alikuwa anavaa shati, kuna kipindi alipataga timu South Afrika, sina uhakika kama aling'ara kama huku Bongo. Jamaa alikuwa mkali balaa.

Kulikuwa na jamaa mmoja mbabe Bush Stars anaitwa Hui Hui, sijui yuko wapi siku hizi.
 
Sani wameamua kurudisha burudani kwa wapenzi kwa kuchapa gazeti lenye katuni tu za gazeti hilo (kipepe, watoto mapacha, lodi lofa n.k).

Je ni muamko wa kweli wa gazeti hili kongwe au?
Sani limerudi kwa jina la MAWIO
 
Gazeti langu hilo la ku refresh mind baada ya kusoma mwananchi wapi profesa ndumi la kuwili mnamjua kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha!

Cc: Shauri kati
 
Back
Top Bottom