Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Evelyn Salt Visanga vya Dr love vinarudi
Sidhan kama bush stars walikuwa sun, nakumbuka kama walikuwa TABASAMU wakiongozwa na king mapung'oNa mechi ya mpira kati ya Mabush Stars na Maborn Town ipo?
Mzee Tupatupa
Na Ole pamoja na Zumo kama sikosei walikua ndani ya wimbi la kitintale. Kwa kweli vya kale vitamu sana.Wimbi la Kitintale litakuwepo? Akina Obi, Linda na Mayuku
Mzee Tupatupa
mkuu utakua umesahau, mi nakumbuka timu hizo zilikua saniSidhan kama bush stars walikuwa sun, nakumbuka kama walikuwa TABASAMU wakiongozwa na king mapung'o
Huyu mtoto wa juZi alihadisiwa tu huyu, bush star na born town .. Kina hui hui hawajawahi kigusa mpira hata mara moja toka azaliwe ila namba yake ipo . Dadeki.mkuu utakua umesahau, mi nakumbuka timu hizo zilikua sani
Nilikua naburudika sana wakati wa maandalizi ya mechi kali kati ya watani hao wa jadi, yani kila timu inakwenda kwa mganga ila mambo ya huko sasa daaa!Huyu mtoto wa juZi alihadisiwa tu huyu, bush star na born town .. Kina hui hui hawajawahi kigusa mpira hata mara moja toka azaliwe ila namba yake ipo . Dadeki.
Mkuu una miaka mingapi?... Utakuwa ulihadithiwa.Sidhan kama bush stars walikuwa sun, nakumbuka kama walikuwa TABASAMU wakiongozwa na king mapung'o
kama ningekupa fursa unichagulie, kati ya hao yupi ungenipa?Zena na betina
Ladha haiwezi kuwa ile toka alipokufa John Kaduma ambaye alikuwa mchoraji mkuu ladha ilianza kupotea, hata watunzi siyo wale wa zamani mf kumbuka wimbi la kitintale, visa vya betina n.k. Ngoja nitanunua nione km kuna mabadiliko mana lilishapoteza mvuto.Ladha ni ileile.
Mkuu una miaka mingapi?... Utakuwa ulihadithiwa.Sidhan kama bush stars walikuwa sun, nakumbuka kama walikuwa TABASAMU wakiongozwa na king mapung'o
ila wachora katuni wa miaka ile walikua wakali sana yani sana sana sana. Nahisi Masoudi Kipanya alikua miongoni mwao.Hii ndio Sani la Miaka ile ya kina Mzee Tupa tupaView attachment 317973View attachment 317976View attachment 317977View attachment 317978
Ha ha ha harakati za pimbi, jamaa hajawahi kabisa kufanikiwa, nampendaga comred kipepe na rungu lake ni kuwinda vitoweo tu afu nae hatari hawapati lolEvelyn Salt Visanga vya Dr love vinarudi
mkuu hata mi nna wasiwasi, ladha haiwezi kua ileile unless kama wale wachoraji wake wa zamani watakuepo japo wawili au watatuLadha haiwezi kuwa ile toka alipokufa John Kaduma ambaye alikuwa mchoraji mkuu ladha ilianza kupotea, hata watunzi siyo wale wa zamani mf kumbuka wimbi la kitintale, visa vya betina n.k. Ngoja nitanunua nione km kuna mabadiliko mana lilishapoteza mvuto.
Jarida lako pendwa la SANI lipo mtaani sasa, kila Alhamis.
Unazikumbuka Story za Madenge, Kifimbo cheza, Mzee Fukunuku, Zena na Betina. Lodi Lofa, Sokomoko, Pimbi n.K.
Usiwakose leo kwenye Jarida la SANI kwa Tsh.1000 tu.
Miss sana striker mapung"o
Kwa sasa atakuwa kochaKwa sasa nahisi Mapung'o kashastafu soccer ndo maana Messi na Ronaldo wanasikika sana