Yaani nimecheka mpaka basi! Nadhani ulimaanisha Bob Mazishi!wale mapacha mmoja aliitwa sunche na mwingine kapeto.bila kumsahau ndumilakuwili,bob makani,pampula,etc
Lilikuwa gazeti linaitwa kasheshe. Tumeimba sana kuhusu kaboka mchizi enzi tuko machaliiHivi 'Kaboka Mchizi' Ni character kutoka gazeti gani?
Bush star na Born town walikuwa Sani enzi hizo mtunzi na mchoraji alikuwa John Kaduma hivi sasa ni marehemuMkuu una miaka mingapi?... Utakuwa ulihadithiwa.