Jarida la burudani la Sani limepoteleaga wapi

Jarida la burudani la Sani limepoteleaga wapi

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,263
Reaction score
40,451
Wakuu hasa wale 80,s na 90,s nadhani mnakumbuka majarida ya kipindo hicho enzi za Kisiwa cha Kitintale Obi na Zumo na Prof Ndumilakuwili, Lodi lofa sokomoko, Comred kipepe Madenge, Mzee Meko, Kifimbo cheza na wengine wengi nakumbuka tulikua tunatunza hayo magazeti na unaweza kupata demu kwa kumuazima tu akasome. Wachoraji wa enzi hizo Ibra Radi Washokera, Michael Katembo, John Kaduma na nk hakika tulipata ladha flani adimu sana
images-25.jpg
images-23.jpg
images-33.jpg
images-21.jpg
images.jpg
images-30.jpg
images-32.jpg
images-26.jpg
 
Magazeti ya zamani kidogo yalikuaga na katuni
Unakuta saa nyingine ukurasa mzima katuni
Sasa hiv hiyo kitu imepotea
 
Back
Top Bottom