Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,114
- Thread starter
-
- #21
Nilishatoka siku nyingi baada ya kujitambua; mfano mdogo tu, kumiliki mabanda 20 ya chipsi yanakuhitaji uwe na phd?Life siyo simpe kiasi hicho mkuu upo ndani ya sytem au unatema cheche upo nje kama upo ndani unaelewa what it's
Hiyo kuanguka ni sehemu ya kupata uzoefu ili ufanye kitu bora zaidi.Vipi kuhusu sisi tulio jiajiri tukategemea kutoboa na tukaangukia pua.. Na tumekula loss... But saiv tunajipanga upya.. bila kuchoka.. naitwa Mr IQ
Wewe utaajiriwa mpaka unakufaKuziba pancha na kumiliki hii toto ni mbingu na ardhi.. acha ubinafsiView attachment 3659600
Dalili ya kukata tamaaKujiajiri sio lazima
FafanuaKwa mtumishi anayejitambua jaribu UTT AMIS hutojutia
Subirini nyongeza ya mshaharaMudi....
Sisi wenye aikyuu ndogo tuna komenti wapi Kwani View attachment 3659603
Mbona wanakijiji wanisifu kuwa nina akili. Au wananienjoy tu.Huo ni ulemavu tu wa ubongo
Kijiji cha wapi hicho?Mbona wanakijiji wanisifu kuwa nina akili. Au wananienjoy tu.
Lyamungo sinde.Kijiji cha wapi hicho?
Itoshe kusema kwamba IQ yako ipo chini sana. Au ni kwasababu umehamia kijijini na umezeeka tayari!Jaribu, kutathmini IQ yako
Wewe ni mfwu kabisa. Miaka 40? Na unaona fresh tu?Tunao kaa kwa mama wa kambo 40+ years nasi una neno gani ? ajira tulikosa na kujiajiri ikawa imposible. Hapa ni mwendo wa kwenda kusaga mashineni kula kulala na kucheza bao na footblal
Kuajiriwa ni utumwaKujiajiri sio lazima! Wewe ndiye mwenye IQ ndogo kuamini kujiajiri ni lazima.
Utakuwa umechanganya jina, huko wajanja wengiLyamungo sinde.
Eti kilo moja ya mchele ina bunje ngapi?Itoshe kusema kwamba IQ yako ipo chini sana. Au ni kwasababu umehamia kijijini na umezeeka tayari!
kwa hii IQ nitakuwa nimeajiriwa kweli?We umejiajiri?
IQ ya Kukesha ukichoma mahindi?kwa hii IQ nitakuwa nimeajiriwa kweli?