Jaribu hii nanasi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,904
wengi tumezoea kumenya NANASI nakula bila kuchanganya nachochote leo JARIBU hii
chukua bakuli kubwa weka maji kiasi changanya na chumvi ya wastani menya NANASI lako navipande vyake vitie kwenye yale maji yachumvi subiri dktano then enjoy the wonderful testo(≧v≦)oo(≧v≦)oo(≧v≦)o
 
Inaongeza nguvu za kiume?
 
Hakuna haja ya kutia maji, wewe ukishakatakata vipande vidogo vidogo tia chumvi laini kiasi, tia na pilipili manga iliyosagwa vizuri......mmmmh, utakuwa hauli nanasi la hivihivi, labda kama ni nanasi kavu!
 
mh hii nilikua sijawahiisikia nitajaribu, niliyokua naijua ni ya kuchanganya nanasi na mayonise
 
Hakuna haja ya kutia maji, wewe ukishakatakata vipande vidogo vidogo tia chumvi laini kiasi, tia na pilipili manga iliyosagwa vizuri......mmmmh, utakuwa hauli nanasi la hivihivi, labda kama ni nanasi kavu!

kwa mwenye shida ya ulcers pilipili is not recomendable
 
Back
Top Bottom