Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

Kwa taarifa yako mtandao wa ndugai bungeni Ni wale covid 19 ambao nao wameanza kusaliti , kwanza kwa kumnyima ngono zembe na pia kusema hadharani
Kwa akili zao hao covid 19 wanajua hata akitoka Ndugai watabaki salama?
Au Ndugai ataiacha hiyo mbeleko yakuwabebea, wao watulie wasije wakatoka wote.
 
That is the way they have fabricated our minds. We, as a result, see wrong as right and right as wrong.
I see it as the reality. The government organs are embedded in the ruling party in a very complex manner. But there's always a way out of this pit we're in.
 
Baada ya jana Rais kuwasifia hadharani wenyeviti wa CCM wa baadhi ya mikoa aliowatuma kumjibu Ndugai sasa wanafiki wote wanajitokeza.
Si alisema anapanga safu mpya, lazima wajikombe kombe
 
Fact


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajisumbua sana spika ana ng'oka
 
Mwanasheria mbobevu kama huna watu wewe ni takataka kwenye siasa.
Muulze lisu.
Ukweli yule mwanasheria watu alikua hana ila sasa anao kwasabu uchaguzi ujao hauko mbali! Hawa kina zungu wanajifanya wapo kwa spika lakin ikipigwa kura ya wazi wote wataufyata! Najua kimbisa anawapa ujasiri lakin hamtaweza! Ujasiri alikua nao peke yake na baadae kalegeza
 
Tena atulie humo humo
 
Kura ya wazi ndio itakayo muokoa mama kwa sababu ya soni.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya nafasi ya uspika na spika Ndugai. Hakika spika kwa nafasi yake kama mkuu wa muhimili ni position kubwa sana lakini kwa upande mwigine kuna Job Ndugai ambai ni spika.
 

Mikutano ya vyama vya siasa si imekatazwa
 


Hayo uliyosema ni kweli lakini Si kwa spika Ndungai, mlafi, mchumia tumbo, Na mnafiki
Hawezi kufanya chochote Na Kuna watu watamdhibiti humohumo ndani ya CCM Na nje yake . Usitishe Bure vijana kwa boya hilo
 
Walivyopangana sasa; Mrisho,Omary,Abdalla,n.k wote wako kwa Samia dhidi ya Job 'mzee wa Nazareti'🤣🤣🏃‍♂️

Inabidi awamu hii nibadili jina niwe Abdallah uenda mambo yakaniendea poa
Wacha fitina kafiri
 
Mbona unaongea pumba jeshi litapinga hicho kifungu cha katiba?
Uraisi amepewa na katiba sio jeshi, na ndio maana
huwa wanapambana kuiba kura wapate uhalali wa kulindwa na katiba kuwa ni washindi na sio jeshi.
Kichwa maji umesikia.
Hivi hukuona jeshi mitaani wakati wa kila chaguzi??? Kuna kufuata katiba TZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…