samahani kaka umeoa?.....ukatili huwa mnauanzasha nyie sie tunafanya kumalizia tu, imagine mume wako mpenzi umezaa nae watoto wawili wazuri anakuja kukutelekeza wewe na watoto bila huruma, unamuomba mkae chini akueleze bac tatizo limetokea wapi ili m solve mrudie ndoa yenu tamu inakuwa ugomvi na akitoka hapo harudi home week nzima, na akija ni anachukua nguo wenye begi za kurudi kwa hawara...wewe wewe wacha kabisa....mkilianzisha mjue kulimalizia....hiyi nyumba aliyonjengea hawara na biznec kubwa aliyomfungulia ambayo niliishuhudia mie pia, nilifanya kwenda hapo kumjua huyo hawara mwenye kumtesa rafiki yangu kihivyo, vyote hivyo angewekeza kwenye familia yake mambo yangekuwa matamu zaid i kuliko majuto anayoyapata sasa hivi.
Acha visasi la sivyo mbigu huioni we mama, kwani umeleta hii mada wachangie walioooa tu