Arudi tu ila tunamkumbusha siku ya maandamano yasiyokoma hatukumuona wakati ndo aliyaitisha.Tukamuona Yuko ubalozi wa Germany.Na Tundu Lissu nae arudi.. aje kupambana na hawa majaji wa serikali.
Nakumbuka Lissu ndio alitushauri Watanzania tusikubali kupimwa Mkojo
Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences."
My opinion:
Habari hii ikimfikia Mbowe, Mbowe atamshauri/atamtaka Lema asirudi nyumbani kwani namuona Mbowe ni mtu wa kuhurumia wengine kuliko hata anavyojihurumia.
Hata hivyo, Lema atarudi tu hasa ikitokea Mwenyekiti anafungwa jela ingawa nae pia anaweza kupata upinzani kutoka kwa ndugu zake wakimsihi asirudi.
Wangekua wapole kwenye nini??Kuna watu wameumbwa na mioyo fulani ya uchungu, Lema nimeshakaa naye mara chache kuzungumza he is one of them!
Dhulma kwa Mbowe na moyo wake wa dhati ndo vitamrudisha, na atakuja kweli, ila laiti CCM wangejua, wangekuwa wapole.
Ndio mkuu.Umemaliza kazi
Hapana yupo swala jana limemuumiza sana mpaka presha ikamka.Waje lakini wawe makini na hatua zao, naamini watatafutiwa sababu yoyote na hii serikali dhalimu ilimradi wafungwe mdomo, we are in a critical stage in a do or die situation at the moment.
Uwepo wake utasaidia kuamsha hari ya wengine kwenye kulaani ukandamizaji unaofanywa na CCM kupitia mahakama, na jeshi la polisi, naamini na Lissu nae atafikiria hatma yake ni ipi kama akiendelea kuwa nje ya nchi muda mrefu kwa siasa zetu.
Kina Sugu naona baada ya Samia kuingia madarakani wakaanza kumsifia anafungua milango matokeo yake amejifunga kisaikolojia sasa hivi yuko kimya hawezi kukemea lolote analinda biashara yake.
Akirudi tuu sukuma ndaniNaunga mkono hoja arudi kupambana na utawala wa ibilisi
Ungekuwa wewe ungechagua maslahi ya familia au Mbowe? Mnaojifanya kuwapigania hawana habari na nyinyi mnaonekana Matapeli tuu na waroho wa madaraka.Waje lakini wawe makini na hatua zao, naamini watatafutiwa sababu yoyote na hii serikali dhalimu ilimradi wafungwe mdomo, we are in a critical stage in a do or die situation at the moment.
Uwepo wake utasaidia kuamsha hari ya wengine kwenye kulaani ukandamizaji unaofanywa na CCM kupitia mahakama, na jeshi la polisi, naamini na Lissu nae atafikiria hatma yake ni ipi kama akiendelea kuwa nje ya nchi muda mrefu kwa siasa zetu.
Kina Sugu naona baada ya Samia kuingia madarakani wakaanza kumsifia anafungua milango matokeo yake amejifunga kisaikolojia sasa hivi yuko kimya hawezi kukemea lolote analinda biashara yake.
Tutazidi kuwapandisha chati kwani uelewa wa watu umekuwa mkubwaAkirudi tuu sukuma ndani
Chato au siyo,,mtakula chatiTutazidi kuwapandisha chati kwani uelewa wa watu umekuwa mkubwa
Wangapi wamefungwa na wewe umepata faida ipi?Akirudi tuu sukuma ndani
Faida ni kupunguza ghasia za mtaaniWangapi wamefungwa na wewe umepata faida ipi?
Hawa sasa akina Sugu ndiyo wanasiasa makini wanapanga siasa zao kadri ya CCM ilivyo kwa wakati huo. Kwa nini ukariri kumtukana Rais muungwana kama Samia? Na hayo ndiyo makosa ya Mbowe na LissuKina Sugu naona baada ya Samia kuingia madarakani wakaanza kumsifia anafungua milango matokeo yake amejifunga kisaikolojia sasa hivi yuko kimya hawezi kukemea lolote analinda biashara yake.
Siku akifungwa dingi ako akili zitakaa sawaFaida ni kupunguza ghasia za mtaani
Enzi za utawala wa Kayafa Lema pamoja na Lissu walikuwa kwenye hit list.Chief Hangaya amerithi maovu yote aliyoyaacha Kayafa ikiwa ni pamoja na kufungwa kwa Mbowe.Sioni Lema akibakia kuwa hai kama atarudi Tanzania.Lema akitaka kuwa mwanasiasa zaidi ni muhimu arudi nyumbani.
Akitaka kuwa mkimbizi zaidi ni muhimu akae nje.
Lema anajua hata huko aliko hayuko hai, ndiyo maana anataka kurudi Tanzania.Kipindi cha Kayafa Lema pamoja na Lissu walikuwa kwenye hit list.Chief Hangaya amerithi yote aliyoyaacha Kayafa ikiwa ni pamoja na kufungwa kwa Mbowe.Sioni Lema akibakia kuwa hai kama atarudi Tanzania.
🤣🤣🤣Lema anajua hata huko aliko hayuko hai, ndiyo maana anataka kurudi Tanzania.
Maisha yako yakiwa magumu usifikirie na wengine wote wana maisha kama yako.
MsogaChato au siyo,,mtakula chati