Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,007
- 6,468
JFK? Mwaka? Pope naye alipigwa shaba lini?J. Kennedy alipigwa sembuse hyu mstaafu?
Kulindwa hufunikwi kama koti bado utadunguliwa tu.
Baada ya tukio hilo, watu wamewekeza kiasi gani kulinda viongozi? Unadhani ni rahisi kumdungua Biden au Trump wakati huo? Boris? Macron, Putin etc? Au wamarekani wote wanawapenda viongozi wao? Unawasikia jinsi wanavyowapigana shaba kitaa? Mpaka sasa hawajamgonga hata mtendaji wa kijiji tu, iwe mstaafu wa juzi tu wa Japan?
Kwa huu umri wangu huyu ndo kiongozi wa kwanza kusikia kala chuma hadharani.