January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

mimi ni kijana,, ila swali ,mh makamba umetufanyiaa nini vijana wa Tanzania hadi tukupe urais???
 
.. najua haya ulikuwa huyajui ila kwa taarifa yako kijana January baada ya kufika pale wizarani mapinduzi makubwa ya mawasiliano yametokea na kwa taarifa yako sasa hivi inafungwa device ambayo itamonitor mawasiliano yote hapa nchini na kugundua kila mtu atayepiga simu au kutumia mitandao kwa nia ovu yuko wapi na device hiyo kama ni simu au computer kuna uwezekano wa kudestroy remotery na isifanye kazi daima kwa hiyo tutakomesha uchochezi..... kwa hayo machache wewe unasemaje!

Daaah wajinga wengi sana, na wewe unaamini haya?
 
Kitu kimoja makamba asichokijua ni kwamba anafanywa mbuzi wa kafara, kuna watu wanamdanganya
 
Unajua nani kachangia mawazo mpaka leo hii nchi yetu inavuna kodi ya international calls kiasi cha zaidi ya billioni moja kila mwezi baada ya kufunga mtambo wa kubill ni nani?, unajua mgogoro wa Aritel na TTCL mpaka hivi karibuni tunatarajia ubia umaalizike ili kampuni mama limilikiwe na serikali 100% na lianze kukopesheka na hatimaye tutumie simu za kampuni mama kimawasiliano nani anaratibu kumaliza huo mgogoro ? unajua mawasiliano vijijini ufungaji wa minara inayotumia sora ili kupeleka mawasiliano vijijini na mipakani kote ambako network ilikuwa haipatikani nani ameongoza kampeni hizo na sasa baadhi ya vijiji wanawasiliana bila matatizo ni nani kachangia kufanikisha?....... najua haya ulikuwa huyajui ila kwa taarifa yako kijana January baada ya kufika pale wizarani mapinduzi makubwa ya mawasiliano yametokea na kwa taarifa yako sasa hivi inafungwa device ambayo itamonitor mawasiliano yote hapa nchini na kugundua kila mtu atayepiga simu au kutumia mitandao kwa nia ovu yuko wapi na device hiyo kama ni simu au computer kuna uwezekano wa kudestroy remotery na isifanye kazi daima kwa hiyo tutakomesha uchochezi..... kwa hayo machache wewe unasemaje!

Kwa hiyo hayo kwako ndiyo uwezo wa kuongoza nchi .......................!!!
 
Muda wa Tanzania kuongozwa hata na vichaa unakuja.
Katangaza nia na akigombea atashinda mtachoka.
 
Kwa hiyo hayo kwako ndiyo uwezo wa kuongoza nchi .......................!!!
uwezo wa kuongoza nchi unaoujua wewe ni wa sifa za kuiba wake za watu kama babu yako mstaafu slaa!!
 
Hongereni maaskofu kwa kutambua umuhimu wa taifa letu kuongozwa na kizazi kipya.

kamanda tuendelee na mapambano ya kwenda kwenye mabadiliko.

haujielewi wewe

wewe kama nani useme makamba hawezi kuwa rais?kUNA WENZAKO WALISEMA OBAMA HAWEZI KUWA RAIS NA LEO HII YUPO STATE HOUSE

pia tuendelee kuwaandaa wazee kisaikolojia kuongozwa na kizazi kipya cha vijana

Wengi wanasema kizazi kipya, wengne wanasema Makamba, nine wanasema kijana, wengine wanatumia neno mabadiliko.

Mimi nasema yote hayo ni upuuzi tu! UPUUIZI! Ni sawa na kusema rais awe mrefu, awe mwanamke, mwanaume au mfupi. Then what for? Kijana for what? mzee for what? Tunataka mtu mwenye uwezo, FINITO. Munaosema awe Makamba, anazo sifa? If not, RUBBISH!

Hebu someni mawasilian hayo yaliyowahi kuletwa hapa JF. Mtu aliyeombewa nafasi kwa ufisadi wa aina hizi, hat Ngono!
 
Attachments

  • Ze Makamba.JPG
    Ze Makamba.JPG
    88.3 KB · Views: 50
Wengi wanasema kizazi kipya, wengne wanasema Makamba, nine wanasema kijana, wengine wanatumia neno mabadiliko.

Mimi nasema yote hayo ni upuuzi tu! UPUUIZI! Ni sawa na kusema rais awe mrefu, awe mwanamke, mwanaume au mfupi. Then what for? Kijana for what? mzee for what? Tunataka mtu mwenye uwezo, FINITO. Munaosema awe Makamba, anazo sifa? If not, RUBBISH!

Hebu someni mawasilian hayo yaliyowahi kuletwa hapa JF. Mtu aliyeombewa nafasi kwa ufisadi wa aina hizi, hat Ngono!
sasa wewe mambo haya ya mitandao unayaleta kama ushahidi huna tofauti na waliopiga picha kaburi la barali na kudai eti alifariki kweli, utajisikiaje siku nikisajili akaunti mchunguzi@yahoo.com alafu nikaandika upuuzi maana yake ni wewe au ni ndugu yako? Amagezi nkekikere chwekao.
 
Wengi wanasema kizazi kipya, wengne wanasema Makamba, nine wanasema kijana, wengine wanatumia neno mabadiliko.

Mimi nasema yote hayo ni upuuzi tu! UPUUIZI! Ni sawa na kusema rais awe mrefu, awe mwanamke, mwanaume au mfupi. Then what for? Kijana for what? mzee for what? Tunataka mtu mwenye uwezo, FINITO. Munaosema awe Makamba, anazo sifa? If not, RUBBISH!

Hebu someni mawasilian hayo yaliyowahi kuletwa hapa JF. Mtu aliyeombewa nafasi kwa ufisadi wa aina hizi, hat Ngono!

Tuondolee uchafu wako hiyo hata mi naweza kutengeneza.
 
haiezekani akili ndogo ikatawala akili kubwa xo hatupo tayari kumpa mtoto aongoze nchiiii
 
Likapo yupi huyu wa udom, ndio unamawazo haya, kweli ?! Any way ....

Unataka awe na mawazo kama yako yakutaka nchi hii iendelee kuwa mikononi mwa wazee waliotuibia miaka yote hii.Maana hawa wazee uzoefu wao ni wakuiba tu.Kizazi kipya tujiandae kulitumikia taifa
 
Back
Top Bottom