- Thread starter
- #101
haiezekani akili ndogo ikatawala akili kubwa xo hatupo tayari kumpa mtoto aongoze nchiiii
Unataka tuwape wazee we ye uzoefu Wa kuibia taifa hili kama lowasa?
haiezekani akili ndogo ikatawala akili kubwa xo hatupo tayari kumpa mtoto aongoze nchiiii
Unajua nani kachangia mawazo mpaka leo hii nchi yetu inavuna kodi ya international calls kiasi cha zaidi ya billioni moja kila mwezi baada ya kufunga mtambo wa kubill ni nani?, unajua mgogoro wa Aritel na TTCL mpaka hivi karibuni tunatarajia ubia umaalizike ili kampuni mama limilikiwe na serikali 100% na lianze kukopesheka na hatimaye tutumie simu za kampuni mama kimawasiliano nani anaratibu kumaliza huo mgogoro ? unajua mawasiliano vijijini ufungaji wa minara inayotumia sora ili kupeleka mawasiliano vijijini na mipakani kote ambako network ilikuwa haipatikani nani ameongoza kampeni hizo na sasa baadhi ya vijiji wanawasiliana bila matatizo ni nani kachangia kufanikisha?....... najua haya ulikuwa huyajui ila kwa taarifa yako kijana January baada ya kufika pale wizarani mapinduzi makubwa ya mawasiliano yametokea na kwa taarifa yako sasa hivi inafungwa device ambayo itamonitor mawasiliano yote hapa nchini na kugundua kila mtu atayepiga simu au kutumia mitandao kwa nia ovu yuko wapi na device hiyo kama ni simu au computer kuna uwezekano wa kudestroy remotery na isifanye kazi daima kwa hiyo tutakomesha uchochezi..... kwa hayo machache wewe unasemaje!
Kwa hiyo hayo kwako ndiyo uwezo wa kuongoza nchi .......................!!!
Daaah wajinga wengi sana, na wewe unaamini haya?
Kitu kimoja makamba asichokijua ni kwamba anafanywa mbuzi wa kafara, kuna watu wanamdanganya
Muda wa Tanzania kuongozwa hata na vichaa unakuja.
Katangaza nia na akigombea atashinda mtachoka.
Labda kama anataka kuwa rais wa BAIKOKO.
Unataka tuwape wazee we ye uzoefu Wa kuibia taifa hili kama lowasa?
sasa wewe mambo haya ya mitandao unayaleta kama ushahidi huna tofauti na waliopiga picha kaburi la barali na kudai eti alifariki kweli, utajisikiaje siku nikisajili akaunti mchunguzi@yahoo.com alafu nikaandika upuuzi maana yake ni wewe au ni ndugu yako? Amagezi nkekikere chwekao.
Tuondolee uchafu wako hiyo hata mi naweza kutengeneza.
Mwadilifu,uzalendo,mwenye umakini wa hali ya juu.Uzalendo wake hauna shaka
uwezo wa kuongoza nchi unaoujua wewe ni wa sifa za kuiba wake za watu kama babu yako mstaafu slaa!!
Tatizo la watu msio na akili hajui kitu cha kujadili!! Mmeleta thread kuwa January anafaa, tunahoji uwezo wake mnaanza kujadili Silaa. Wapi nimesema Silaa ndiye chaguo langu!!? Tutataka mtuambie uwezo wa January kama kiongozi!!
Wengi wanasema kizazi kipya, wengne wanasema Makamba, nine wanasema kijana, wengine wanatumia neno mabadiliko.
Mimi nasema yote hayo ni upuuzi tu! UPUUIZI! Ni sawa na kusema rais awe mrefu, awe mwanamke, mwanaume au mfupi. Then what for? Kijana for what? mzee for what? Tunataka mtu mwenye uwezo, FINITO. Munaosema awe Makamba, anazo sifa? If not, RUBBISH!
Hebu someni mawasilian hayo yaliyowahi kuletwa hapa JF. Mtu aliyeombewa nafasi kwa ufisadi wa aina hizi, hat Ngono!