January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

Ni afadhali mtufumbue macho maana wengi wetu ni vipofu. Tunaposema hafai ni hafai kweli! Hata zito kutokana na mishemishe zake kwenye madini na JK mwenyewe kajikusanyia pesa wee akaona sasa ana sifa za uenyekiti CDM na urais wa nchi!

Tatizo nchi imevurugika kiasi kwamba hata mchakato wa Katiba haueleweki kwa hiyo tunaweza kuja kumpata rais ataketuangamiza kabisa.

Yaonekana uamuzi wa kugombea ulijadiliwa ktk familia. Leo imesikika eti Mzee mwenyewe akihangaika kutetea uamuzi wa msela wake. Ni sawa lakini angalau familia yenye kipaji. Hii tena! NO!
 
Back
Top Bottom