January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

Subirini Nape naye atatangaza kuwania urais hivi karibuni
 
Jana maaskofu wametoa tamko la kumtakia Makamba safari yenye mafanikio huku wakisema 2015 ni mwaka Wa kizazi kipya.

Kama Maaskofu wamemkubali sina Pingamizi,tatizo asije akakumbatia udini kama huyu tuliyenaye sasa maana hata yeye Maaskofu ndio waliompigia kampeni kwa kumwita ni Chaguo la Mungu lakini baadae akawageuka Wakristo.
 
Maaskofu ni sehemu ndogo sana ya watu ktk jamii ya TZ. Siwapingi, ila kumkubali kwao tuchukulie kuwa ni maoni yao kama Mtanzania mwingine yeyoye anayelitakia mema taifa lake.

Sisi kwa pamoja tuamini akili zetu, tuone kuwa nasi tunao uwezo wa kuamua hatima ya taifa letu. Tusiache mustakbali wa taifa ukawa mikononi mwa watu wachache na mwishowe tukaishia kunung'unika kama hivi sasa kuhusu msimamo wa maaskofu ktk uchaguzi uliopita. Kwa pamoja tunaweza!
 
Maaskofu ni sehemu ndogo lakini ina ushawishi mkubwa sana.Kitendo cha Mapadri na wachungaji kuuwawa pamoja na kulazimishwa kuchnijiwa Mifugo yao kwa Ibada za Miungu huku Makanisa yakichomwa kimewatoa imani sana na Uongozi wa mwislamu.
 
Umesema kweli kabisa, ila mimi binafsi napata utata sana kuhusu muelekeo wa taifa kwa sasa. Angalia mvurugiko na fitna ya kitaifa iliyoko sasa kidini. Tufanye nini kunusuru hali hii ili kuwe na amani ya kweli?

Ni ukweli usiopingika kwamba jamii hizi zinazosigana zitaendelea kuishi pamoja ktk hali yoyote. Hivyo, utaona iko haja ya kuazimia kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa kuondoa mipasuko hii inayoonekana wazi kila kukicha. Hali hii ikiachwa kuendelea itapelekea mwisho ambao kwa sasa hatuwezi kuutabiri.

Pia naona umuhimu hauko kwenye dini ya Rais atakayechaguliwa. Kwani haikusemwa Rais Kikwete ni chaguo la Mungu? Mbona leo analaumiwa? Mbona Baba wa Taifa kalifanyia taifa hili mambo makubwa ya kukumbukwa na bado baadhi ya watu wanamlaumu? Hujaona bado kwamba dini si hoja? Kama Mkristo kaonekana mbaya, leo Muislamu naye kumbe mbaya, taifa liongozwe na nani?

NI MAONI YANGU kwamba tusikimbie kivuli chetu wenyewe, hatutanusurika na matokeo mabaya ya fitna hii kama bado tutashikilia dini kama kigezo cha uongozi. Tutafakari kwa makini zaidi namna yenye busara ya kuondoa jinamizi hili la udini.

Muda kwamba Wakristo, Waislamu na wasiokuwa ktk hao wataendelea kuwepo TZ kama nchi mama, basi anatakiwa kiongozi atakayesimamia haki za wote hao kwa uadilifu bila kujali yeye ana dini ipi. Hapa utaona Rais anayefaa sio wa dini ipi, bali awe na maadili mema na uadilifu hata kama sio Mkristo au Muislamu. Tanzania ni zaidi ya Ukristo na Uislamu.

Mungu isaidie na ibariki Tanzania!
 
Hongereni maaskofu kwa kutambua umuhimu wa taifa letu kuongozwa na kizazi kipya.

mh. januari makamba, unafaa kuwa waziri mkuu wa prof. tibaijuka wakati akiwa rais 2015. ww subiri uwe waziri mkuu wake prof. tibaijuka kwani yeye ndiye mchapakazi mahiri na anaehakikisha halali kwa kubuni fikra mpya na chanya zakuwakomboa wa tanzania plz comred makamba wait time shall tell. alaf utakapokua mchapakazi bora wa prof. km waziri mkuu then utagombea urais. acha haraka. mshauri prof. tibaijuka agombee urais japo yy hajasema na bado anatekeleza ilan ya ccm 2015
 
Hao ni maaskofu wa kanisa gani? Maana siku hizi kuna makanisa ambayo Baba ni askofu, Mama Mchungaji, Baba mkwe Apostle, watoto na wajukuu ndiyo waumini.

Kama Maaskofu wamemkubali sina Pingamizi,tatizo asije akakumbatia udini kama huyu tuliyenaye sasa maana hata yeye Maaskofu ndio waliompigia kampeni kwa kumwita ni Chaguo la Mungu lakini baadae akawageuka Wakristo.
 
Hoja apa ni kuleta fikra mpya za watu ambao wakiharibu kizazi cha miaka 30 ijayo kitawahoji maana kiumri bado wana safari ndefu hatutaki kutibu watu presure pale Ikulu tunahitaji watu wenye uwezo wa kuhimili mikikimikiki ila pole kama na wewe ni mstaafu yaani above 55 endelea kula mafao yako, saa kumi na mbili jioni hiyo sasa si mtatufikisha usiku wa manane au tutalala porini.

Nafikiri utoto unakusumbua ndiyo maana kila anayehoji uwezo wa Makamba unafikiri ni mzee. Actually, inawezekana huyo Makamba kanizidi 1 or 2 years. But the fact is so far January hajaonyesha uwezo wake popote ..................... hiyo simaanishi kuwa hana kipaji cha uongozi. Akiwa kama Naibu Waziri ilitakiwa tuone something from him, personally, I have not seen anything. Akina Zito pamoja na usaliti wao wameonyesha potential kuliko January by far tena wakiwa nje ya serikali kitu ambacho siyo rahisi.

Fikira mpya haziletwi na vijana bali na watu walio nje ya system .................... January akiwa ndani ya system hajaonyesha dalili yeyote ya kuwa na uwezo wa kutuletea maendeleo zaidi ya kile wanachokifanya CCM. Ndiyo maan tunahoji POTENTIAL!!! Hope you are getting it!!?
 
Mafisadi wameshamuahidi pesa za kuhonga wazee wa CCM lakini inabidi afahamu hakuna cha bure ataiuza nchi kwa mafisadi kwa tamaa yake ya uraisi.
 
huyo si kilaza hebu mkumbushe historia vizuri,ye nani aseme makamba hatakua rais
 
kama chama kina mbunge mganga wa kienyeji ambaye anaishi kwa kudanganya watu sembuse makamba. Mwacheni aendelee na niya yake ili wapambane wenyewe kwa wenyewe. Na huyu ni kijana lakini mawazo yake na niya zake ni nzee kwa hiyo hayupo kwenye kundi la vijana huyu ni mzee . CCM haina kijana
 
Nafikiri utoto unakusumbua ndiyo maana kila anayehoji uwezo wa Makamba unafikiri ni mzee. Actually, inawezekana huyo Makamba kanizidi 1 or 2 years. But the fact is so far January hajaonyesha uwezo wake popote ..................... hiyo simaanishi kuwa hana kipaji cha uongozi. Akiwa kama Naibu Waziri ilitakiwa tuone something from him, personally, I have not seen anything. Akina Zito pamoja na usaliti wao wameonyesha potential kuliko January by far tena wakiwa nje ya serikali kitu ambacho siyo rahisi.

Fikira mpya haziletwi na vijana bali na watu walio nje ya system .................... January akiwa ndani ya system hajaonyesha dalili yeyote ya kuwa na uwezo wa kutuletea maendeleo zaidi ya kile wanachokifanya CCM. Ndiyo maan tunahoji POTENTIAL!!! Hope you are getting it!!?
Unajua nani kachangia mawazo mpaka leo hii nchi yetu inavuna kodi ya international calls kiasi cha zaidi ya billioni moja kila mwezi baada ya kufunga mtambo wa kubill ni nani?, unajua mgogoro wa Aritel na TTCL mpaka hivi karibuni tunatarajia ubia umaalizike ili kampuni mama limilikiwe na serikali 100% na lianze kukopesheka na hatimaye tutumie simu za kampuni mama kimawasiliano nani anaratibu kumaliza huo mgogoro ? unajua mawasiliano vijijini ufungaji wa minara inayotumia sora ili kupeleka mawasiliano vijijini na mipakani kote ambako network ilikuwa haipatikani nani ameongoza kampeni hizo na sasa baadhi ya vijiji wanawasiliana bila matatizo ni nani kachangia kufanikisha?....... najua haya ulikuwa huyajui ila kwa taarifa yako kijana January baada ya kufika pale wizarani mapinduzi makubwa ya mawasiliano yametokea na kwa taarifa yako sasa hivi inafungwa device ambayo itamonitor mawasiliano yote hapa nchini na kugundua kila mtu atayepiga simu au kutumia mitandao kwa nia ovu yuko wapi na device hiyo kama ni simu au computer kuna uwezekano wa kudestroy remotery na isifanye kazi daima kwa hiyo tutakomesha uchochezi..... kwa hayo machache wewe unasemaje!
 
Back
Top Bottom