The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,382
- 8,445
- Thread starter
- #161
Wasiwasi ninao Mimi au wewe unaejilisha upepo?Mbona una wasiwasi sasa?
Wasiwasi ninao Mimi au wewe unaejilisha upepo?Mbona una wasiwasi sasa?
Kama unalijua Hilo kwamba haleti mvua Sasa chuki na shutuma Kwa Tanesco ya Makamba na Maharage Inatoka wapi?Mbona umepaniki brother! mi nimeandika kitu hapo? kwani TMA ye ndo analeta mvua bro?
Basi wote hatuna wasiwasi.Wasiwasi ninao Mimi au wewe unaejilisha upepo?
Kwani Kuna mtu Huwa anadumu kwenye siasa miaka na miaka? Mradi utasainiwa next month stay tuned Broo Wala usiogope.Mh Makamba ikiwa utaweza sign huwo mradi ukiwa umekikalia Iko kiti basi tarajia jambo gumu mbeleni litakalo kuondoa kwenye siasa za Taifa hili maana hata sasa umesha wezwa. End
Kwan unashida gan na hizo picha nilizoweka? Coment namba ngap nimemshum Makamba?Kama unalijua Hilo kwamba haleti mvua Sasa chuki na shutuma Kwa Tanesco ya Makamba na Maharage Inatoka wapi?
Tungisha kama imekwisha lete ingine🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Naomba nikiri mapema kuwa sijasoma mtiririko wa mabandiko wa uzi huu.Umeshaambiwa miundombinu ni chakavu Kwa mda mrefu,utafumuaje inagojengwa Sasa hivi? Kwani wanaweka vifaa vya zamani?
Muwe mnapenda kufuatilia taarifa za Tanesco na Wizara..Naomba nikiri mapema kuwa sijasoma mtiririko wa mabandiko wa uzi huu.
Sunked' Kuna kitu hakiniingii akilini.
Ni hivi, Mh. Makamba ameona umuhimu wa hili suala la kuboresha gridi sasa hivi?
Na kama sio sasa hivi, Je ni mpango uliokuwa umeasisiwa ndani ya Ilani ya CCM-kwani ninavyoamini, Ilani ya CCM ndio ina Dira ya kijumla ya Mtanzania-au ni mpango uliokuja baada ya kufanya tathmini ya mikorogo yao kwenye Gridi hiyo?
Vilevile, kama hayo juu yalijulikana mapema-Je, ni yale ambayo aliomba yaidhinishwe kwenye bajeti ya Matumizi na Maendeleo ya Wizara yake?
Au kuna mchongo hapa?
wako wakutifuana....
Mie huyo.
Habari ndugu!
Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.
Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.
My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇
Acha ujinga,hiyo takataka Yako ya jpm usiitaje mbele yangu Huwa namchukulia ni failure tuu kama alivyoiba PhDNdio ujanja waliyokua wanatuambia na kumuita jpm mshamba. Hata marekani iliyokua huru miaka zaidi ya 200 hawajawahi kua na mradi wa kufumua grid nzima. Tr 11 sio hela ndogo wana mpango kukorombeza hela hawa kwa mpango wa cha juu na kutoa kandarasi. Grid ya taifa hadi sasa kuna sehemu inajengwa, sehemu zingine sio za zamani kujengwa. Vizuri na kwa tija ni ukaguzi na kurekebishwa sehemu zenye ubovu. Sio huu wazimu eti kufumua grid yote. Kwanza italetea wananchi shida wakati wa matengenezo ya muda mrefu na nchi wala haitaona faida la kuongezeka umeme nchini.
Huyu januari maharage na genge lao wadhibitiwe wanataka kufanya upigaji wa kufa mtu.
Wewe ndio mfwatiliaji, na ndio maana nimekuuliza wewe mjuvi, hasira za nini? Kha!Muwe mnapenda kufuatilia taarifa za Tanesco na Wizara..
Toka day one alivyoingia aliulizwa why umeme unakatika katika,akasema mahitaji ya umeme yamekuwa makubwa,mifumo ya usambazaji ni chakavu na inahitajika kufanyiwa overhaul .
Tanesco wakasema wanahitaji Til.4 Kuimaliza shida hiyo Kwa miaka 3 na ndio hivi Sasa wameanza na Til.1
OkTangu magu umeme ulikua ukikatika,labda Kama unaleta ushabiki,na tangu 2007 huko nawaona tanesco wakihangaika na nguzo za mitaani
Sisi wananchi tunaishia kulalama kwenye keyboard tu..ngoja tunyooshwe.Mwamba haishagi visingizo,
Alisema mvua zikainza mgao utaisha,
Sahv Kisingizio kingine Tena atasema GRIDI IMARA
Kinachobadilishwa sio waya pekeeMheshimiwa Waziri ni matukio mangapi ya kukatika kwa umemem yamesababishwa na waya za Grid ya taifa?matatizo mengi na nyie wenyewe mlisema ni upande wa usambazaji ambapo mlikuwa mnafanya jitihada za kuweka waya mpya...uharaka gani wa kuingiza Tanesco katika mradi mkubwa wa kubadilisha waya zote hata zile ambazo bado zipo zinatumika bila tatizo?watu wakihisi hii miradi inapigiwa Chapuo kwa sababu ina 10% mnaweza kupingaje?
Kwenye Bajeti ya awali walipewa Bil.500 so inawezekana wakapewa idhini ya kutumia Til.1Wewe ndio mfwatiliaji, na ndio maana nimekuuliza wewe mjuvi, hasira za nini? Kha!
Eniweyi
Sawa umeondoa hilo....la kuwa hakuanza leo na suala zima la Gridi/na Uhitaji wa ukarabati....Je Kuhusu Bajeti? Hizo trillioni ziliombwa kwenye bajeti....manake kwa majibu yako umemjibia kana kwamba aliyajua hayo kitambo! Again aliomba hizo Trilioni kwenye Bajeti ya Wizara kama mtiririko wa uboreshaji wa miundo mbinu?
Sijui kwanini Bashe mnamuweka kwenye hili kundiJanuary Makamba
Nape Nnauye
Hussein Bashe
Hapa Samia aliingia choo cha kike kabisa! Na vile kila siku wanamsifia kwamba anaupiga mwingi! Basi kwisha kabisa habari yake!