Aaah wapiiii?Kibano kinamsubiri akijichanganya tu lazima abetuliwe, ameshalinusa hilo.Kwani si alisha samehewa? Yale yalishapita!!!!!!!!!!!!!!
Anyway, conditional tenses huwa ni ngumu. Tufanye homework kidogo tupate jibu. Soma hiiGrammar check.
"It" then "were", and at the sometime "it" stands for human.
Mbona kichwa Cha habari hakiendani na habari yenyewe?Kabisa kabisa !
Ukimtanguliza shetani ktk 'kazi zako' lazima uumbuke tu.Chakaza unajua jamaa bado nafsi inamsuta sana, Bumbuli ndio ambako kura za Urais zilikua nyingi zaidi ya Wapiga kura wenyewe
Ukubwa wa ile KICHWA haumaanishi wingi wa akiliJanuary ni big brain lazima tukubali
Yaani haya haya maneno yako umemsaidia atayatumiaHizi Kick za Wanasiasa achana nao kabisa, Hiyo Desemba atakuja na Ngonjela ooooohhhh Wazeee wa Bumbuli wamenifuata na kunisihi saaaana niendeleee na Kijiti cha Kusogeza mbele maendeleo ya Jimbo letu pendwa la Bumbuli hivyo sina budi kuendelea. Time will Tell
Nadhani ubatizo wa moto aliosema baba yake umemkolea vizuriKutoka kuwa mratibu wa goli la mkono hadi kukimbia kugombea. Muda unaenda kasi sana
...atagombe urais instead kwani anaungwa mkono na CCM asilia.Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020.
Makamba ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema atafanya uamuzi Desemba mwaka huu atakapokuwa mapumzikoni.
“Sina uhakika juu ya hili, sina hakika kama nitahitaji tena kugombea ubunge mwakani. Nitafanya maamuzi sahihi nikiwa mapumzikoni Desemba mwaka huu,” ameandika Makamba.
Makamba amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Muungano, kabla Rais Dk. John Magufuli hajatengua uteuzi huo mapema mwaka huu!
Pia amewahi kugombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2015, lakini alibwagwa kwenye kura za maoni ambapo chama chake kilimteua aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.
Chanzo: Mtanzania
Mkuu kwani nimekosea aise hizo nihisia zangu tuuAiseeeee !!!
Mimi niliuliza swali tu mkuu , lakini Moderator ame edit kuanzia kichwa cha habari mpaka maudhui , labda wamempigia January na ameconfirm , nasema labda maana kiukweli mimi niliuliza tu .Mbona kichwa Cha habari hakiendani na habari yenyewe?
Labda naye anasubiri atunge kitabu ndio aanike wizi wa kura kama Mkapa alivyoanika wizi wa EPAnafsi ya yale ya 2015 inamsuta, akaungame na kusema kweli kwa yale waliyofanya!
Grammar check.
"It" then "were", and at the sometime "it" stands for human.
Understand the Difference Between 'If I Was' and 'If I Were'
Learn the difference between 'If I was' and 'If I were,' then test your knowledge with a quiz.www.thoughtco.com
The second group of sentences refers to a situation that was always true in the past. In this case, the past simple is used.
- If I were you, I would try to find a new job.
- If she were here, she would explain the situation.
If I were is used to express an imaginary situation in the present.
If I was is used to express something that was true when or if something else happened:
- If I were you, I would take a vacation.
- I would give the test again if I were the teacher.
- If I was late for class, I got into trouble.
- I had to do extra homework, If I was absent.