Uchaguzi 2020 January Makamba asema hana uhakika kama atagombea Ubunge 2020

Makamba nape ridhi moko chenge na mwakiembe dodo na wale wakongwe wote ni out wote yaani kwa kifupi wabunge karibuni wote waliokuwa wa jk ni wachache sana wataula
Hv January amechukua na kurudisha form iliyojazwa kwa usahihi kweli?
 
Makamba ni miongoni mwa vipaji vichache vinavyovizwa na kuuliwa na mtu mmoja fulani. Eeh Mingu linusuru taifa hili.

Yale ya Burundi na yatimie hapa Tanzania.
Anaemuharibia ni baba yake watamnyima ulaji kwa kumkomoa kwa sababu ya baba
 
Balozi wa Tanzania uingereza ila wakuu mbona hizi taarifa huwa ziko wazi sana
Mkuu. Wengine naona hatufuatilii sana hasa kipindi hiki kila siku wanabadilishwa viongozi. Kama sasa hivi majina ya mawaziri awamu iliyopita na makatibu Wakuu ni ngumu kuwakariri maana ukikariri kesho anatolewa na kesho tena na kesho kutwa, na mtondo na mtondogoo. Sasa kichwa kukariri haya ni ngumu Mkuu.
Ila kwa Ubalozi naona huko hajatengua sana.
 
Kati wa mibabe wa CCM wakati wa JK, wangapi watafika 2021? Na Magu ana nia ipi aki wa bwaga namna hii, huyu jamaa ata staafu kweli!
 
Ugombeaji ndani ya CCM mwaka huu iko kazi kweli; watu wamekuwa na confidence ya ajabu:

1595193041624.png
 
Back
Top Bottom