Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,262
- 6,514
Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu.
Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana.
Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma ni bora wasingegombea Urais. Sasa miaka haigandi naye huyoooo uzee unabisha hodi.
Je, akiimbuka kauli na maoni yake hayo anajisikiaje?