Watu kama January haitakiwi aachwe hivihivi ilitakiwa apigwe shaba Kwa mkapa na Azam Tv warushee liveKachota zaidi ya billion 500 kanunua nyumba za kutosha dubai huku nyumba moja ikiwa na thamani ya billion 25
Na kule mchinga mama yake kapita eti hana mpinzaniJimbo la Chalinze
1) Ridhiwani Kikwete
Hakuna mwingine ni mmoja tu basi
Yule tiyari ana mtaji kama kweli alichota B500 basi,atapima upepo,akiona arudi ulingoni sawa lakini kwa pesa hizo bora kustaafu siasa za Bongo mapema.Atarudi Kivingine
Pesa nyingi mnohivi unadhani bilion 500 ni kama laki tano?
Kwa mafisadi hiyo ni hela ya mboga tu mkuuhivi unadhani bilion 500 ni kama laki tano?
yeye na byabato wameliwa vichwaJina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki
2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni
3. > Pre GE2025 - Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!
4. > Pre GE2025 - Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua
Watu wazuri hawakatwiHaya sasa yule baba ake aje aseme jambo 😂
Kwa mafisadi kila kitu kinawezekanaPesa nyingi mno
JM hana tatizo la kujisimamia. Tatizo liko kwenye ambitions zake kubwa.
huezi kufanya rushwa ya namna hii isijulikane, zingine mnampaka tu matope bureKachota zaidi ya billion 500 kanunua nyumba za kutosha dubai huku nyumba moja ikiwa na thamani ya billion 25
Ndio hivyo mkuu yaan Mama na MtotoNa kule mchinga mama yake kapita eti hana mpinzani
Nangu Nyau Paka wa ferryUkishakuwa na ambitions kubwa halafu huna uwezo nazo maana yake ndio hiyo tunasema huna uwezo wa kujisimamia.
"A goal without a plan, it's just a wish"
JK alikuwa na goals zake, akaset plan ili kuzifikia goals zake akafanikiwa, sasa JM inawezekana ana goal ya kuwa Rais lakini hana plans, ndio inabaki kuwa wish..
Paul Makonda anaweza kuwa asset kwa sasa kwa CCM kuliko JM, na hilo hata magodfather wake wanajua.
ndani ya Khost-Afghanistan.
Sure maana anazewa haribu urithi wa watotoYule tiyari ana mtaji kama kweli alichota B500 basi,atapima upepo,akiona arudi ulingoni sawa lakini kwa pesa hizo bora kustaafu siasa za Bongo mapema.
Kwani ni kwa dili moja? Huyu jamaa alinunua nyumba palm island dubai na bei ya sokoni kwa wakati huo ilikuwa zaidi ya billion25huezi kufanya rushwa ya namna hii isijulikane, zingine mnampaka tu matope bure
Ulisema na kuapia kuwa hawezi kukatwa. Mara ukasema sijui hao ndio wana kazi maalum ya kuiba kura ,Mara sijui nini.Aiseee.
Kwamba CCM inachukia ufisadi? Labda ungesema amechukua billion 500 bila kuwapa mafisadi wengine mgao. CCM haijawahi na haitowahi kumkata mtu eti kisa kaiba otherwise kamati kuu nzima ingekosa vigezoKachota zaidi ya billion 500 kanunua nyumba za kutosha dubai huku nyumba moja ikiwa na thamani ya billion 25
Ila jamaa ni trilioneaJina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki
2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni
3. > Pre GE2025 - Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!
4. > Pre GE2025 - Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua
Kwamba Makonda ana plan ama ni asset, hivi hiyo Makonda kuna Muarusha timamu anaweza mchagua? Ni sababu tu CCM itashinda ila ingekua miaka ile ya JK ambapo ubunge ulikua unaamuliwa na wananchi huyo Makonda angepotezwa na Lema mbali sana.Ukishakuwa na ambitions kubwa halafu huna uwezo nazo maana yake ndio hiyo tunasema huna uwezo wa kujisimamia.