Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Kama ndo kupokea hela za kampeni kwa kutoa kuja kusaidia baadaye (ambayo hatuna uhakika kama ni kweli) hiyo inaitwa lobbying.
Kwani sasa hivi nikikupa hela utakataa? Tena iwe unashida kama hiyo aliokua nayo jamaa?
Mbona mama Tiba alipewa na akakiri na yupo?
Kwanza wote hatuna uhakika na hili suala. Tunakurupuka tu kuhukumu.
Sijamuhukumu mtu atajihukumu mwenyewe.