Aliiba jimbo zima kila mpiga kura alinunuliwa ni pesa pekee imempa Ubunge kinyume na hapo Ubunge angeusikia kwenye Bomba licha ya kuendekeza Ushirikina pia .Lakini huyu dogo si alipita bila kupingwa jamani au huu Mchuzi ndio ameutumia Kupita bila Kupingwa
Ila ana Moyo kudadadeki ya Dadaangu auze K ili mimi niwe Mbunge? LoL bure nife na umaskini wangu