Kwa hiyo hizo bush alikamata Makamba peke yake au pamoja na wanakamati anayo iongoza?
Kama na mimi sijachanganyikiwa, nafikiri "kiongozi huyo wa bunge" anamaanisha Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya nishati na madini!Hapo kwenye red, you mean hata Kiongozi wa bunge anaunga mkono hiyo Rushwa, so bunge la Canada pia?
Ukweli unaendelea kumwagwaNa bado maovu yao hayajawekwa hadharani hata kwa kiwango cha robo tu.
tutafanyaje kazi wakati wengine wanatunyonya...?Duh!! Wabongo tunaweza aisee. Tungekua tunachapa kazi kama tunavyoshambulia watu social media!!
Kwahiyo dawa ni kuacha kufanya kazi na kuwashambulia social media?tutafanyaje kazi wakati wengine wanatunyonya...?
Hahahah...raha tupu!Maneno ya Mwammy yamefanya muwa wangu kusimama
una tuwekea bando? au hizi touchi umewanunulia wewe? kama wamenunua qao qamepataje pesa kama hawafanyi kazi? ninauhakika wewe ni kati ya mafisadi...Kwahiyo dawa ni kuacha kufanya kazi na kuwashambulia social media?
Hii ni Tanzania hii ni Africa.
nilisema kwenye thread moja kama January kamtumia dada yake ili apate ubunge je akitaka urais si balaa Mungu wpushia mbali....
unajua hata hii sheria ya mitandaoni ni yeye mahenzi kweli...Alitufitini wananchi but MUOSHA HUOSHWA hiyo ndiyo dunia