Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
Nakumbuka kauli moja eti "ccm ushindi ni lazima"
Ndio maana watu hawana imani na january makamba. Huyo alikua dada yake akimtafutia hela za kampeni. Unaweza ona muwekezaji kwenye uchimbaji madini akiambiwa atoe hela january atakua waziri wa madini.Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.
THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.
Kwa mobile users,
![]()
Mtanisamehe mimi ni Tomaso, this is fake!, kwasababu I know and trust MM intelligence, she is not such dumb!. Please!.Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.
THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.
Kwa mobile users,
![]()
Unamaanisha unamfahamu mpaka kwenye mambo yake private? huwezi kuyajua yote ya mtu hata kama is your best friend.Mtanisamehe mimi ni Tomaso, this is fake!, kwasababu I know and trust MM intelligence, she is not such dumb!. Please!.
P
Hiyo jamaa sasa hivi anatumia kila mbinu apate uteuzi.Unamaanisha unamfahamu mpaka kwenye mambo yake private? huwezi kuyajua yote ya mtu hata kama is your best friend.
No simfahamu kivile, yule binti nilikuwa nae UDSM, ni kichwa, hiyo barua imekuwa drafted na mtu mjinga mjinga, sio wa type ile ya yule dada, it just contains too much details to be too good to be true!.Unamaanisha unamfahamu mpaka kwenye mambo yake private? huwezi kuyajua yote ya mtu hata kama is your best friend.
Mkuu Memento , tuendeleeni tuu kujuana hivi hivi ki jeifujeiefu, lakini watu wanaonijua the real me, na wale wenye uwezo to read in between the lines, wanajua siandiki kutafuta uteuzi wowote!.Hiyo jamaa sasa hivi anatumia kila mbinu apate uteuzi.
Sasa hivi anajipendekeza kwa january
Hauna lolote, kwanza sina haja ya kukujua wewe mlamba viatu.Mkuu Memento , tuendeleeni tuu kujuana hivi hivi ki jeifujeiefu, lakini watu wanaonijua the real me, na wale wenye uwezo to read in between the lines, wanajua siandiki kutafuta uteuzi wowote!.
P
kwa mtindo huu ndo tunasema watu hawa ni wasafi na wanashinda kwa uhalali.its shameful people.Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.
THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.
Kwa mobile users,
![]()
halafu kuna watu humu wanawafanyia promo ma mtu kama haya ambayo yananuka uchafu kila kona.shameful.Angalau ni vizuri kukumbuka watu walivyofika hapo kwenye nafasi za kisiasa. Imefutwa lakini nakumbuka ilionesha dada akiomba pesa kwa hawala yake ili kaka apate mtaji wa kisiasa.