January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

Maskini sababu ya LISHE,lakini hao uliowataja mara tatu ya maskini,usicheke nao hao.Huoni wakiondoka ohh shinikizo la maji mekundu,oh kisukari,kamdudu brother
hahahaaa basi itabidi niendelee tu na biashara yangu ya machungwa tu sasa
 
Nje ya mada kidogo... Najaribu ku'connect the dots..

Aliyeleta mada alikuwa anatumia uhuru1 kabla ya kubadilisha kwenda Muke ya Muzungu ambaye ni Mange... Mange is biggest supporter wa Wema Sepetu na kila mara anamshauri Wema atafute Kigogo na asizae mapema kwani ni bado mdogo huko kwenye mitandao... najaribu kufananisha Uhuru1 na Lara1.. Lara 1 pia ni biggest support wa Wema hapa JF na hata muandiko wa huyu Lara 1 na Mange kule kwenye blog yake unafanana kwa kiasi kikubwa sana..

Hence Uhuru1=Lara1=Mange Kimambi...

Back to the topic; hili chimbuko ndio linaonyesha kumbe alichokuwa anakiongea Mange tangia juzi kina ukweli, maana first aliileta hii ishu 2011 kabla ya huyu Mzungu hajarushwa hiyo Dolla Million yake... That is to say mzungu alipledge hiyo pesa ili apate kitu flani walichohaidiana lakini hakupewa na bila hata excuse walianza kumkimbia kimbia bila majibu ya msingi... January na Mwamvita hii wiki itakuwa ndefu sana kwenu.. Hata mkiishinda ila huyu binti safari hii amewalalisha ni viatu, naona wale watetezi wenu kule Twitter wamesema wapo likizo kutumia mitandao, ila nahisi si likizo rasmi bali wamecreate new accounts kwenye social networks kwa kazi ya kuwatetea Makambaz...
 
hapa nais inatafutwa kiki tu bongo maana bila kiki hakuna kitu wengine tumbueni yeye la kutumbua hana ila anaivisha na kuponesha pasipo kutumbua
 
Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.

THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.

Kwa mobile users,

jp79tx.jpg
Few still enjoys the national cake, through what they call "Chupi"
 
Huyu 'Mutaliano' ndio wa Barrick au ni issue nyingine...
Mhe...kumbe kuingia ikulu mara kwa mara kunalipa...
Ndo maana rais wetu JPM hataki wageni...
Usije ukapiga nae selfie ukatumia kutapeli watu...kwi kwi kwi
 
Huyu ni mtu mwingine kabisa, kajamaa kameliza wengi mpaka kakanunua nyumba south hata ile ya mikocheni hata wazili akae miaka 10 kwa mshahara na marupurupu awezi kuijenga
 
Kuna ule mjengo wa Mwanvita ulileta gumzo hapa JF, na wachache wakatetea kuwa kwa kazi yake Vodacom, ni rahisi kuumiliki.

Sasa naanza kuelewa pesa alikopata
 
Mwamvita kamwombea kaka yake pesa kwa bwanake ili atumie kwa uchaguzi.
Tatizo liko wapi,????
Hakuna pesa iliyoibiwa ya umma. Kila mgombea au wa Chadema au CUF alitumia pesa ambazo alipata kwa namna ambayo hatujui, sana sana viwango vya matumizi vilitofautiANA.
LETS BE FAIR, tutafute sehemu ambayo JANUARY kafisadi hela ya umma badala ya kuingilia personal affairs za dadake na mpenziwake
 
hapa nais inatafutwa kiki tu bongo maana bila kiki hakuna kitu wengine tumbueni yeye la kutumbua hana ila anaivisha na kuponesha pasipo kutumbua
Ndio maisha. Mpe pole lakini. Magufuli aliahidi kutenda haki na pia aliomba wananchi wamuombee na kumsaidia kutumbua majipu. Kutoa information ya harufu ya ufisadi ndio kumsaidia kwenyewe. Sasa kazi kwake. Data ndio hizo, acheki transactions, correspondence nyingine na properties zake. Kama atakuwa amesingiziwa tutamtakasa humu humu.
 
Wakati wa Utawala wa Moi Kenya alikuwa na Stooge wake ambao Ndio waliokuwa wamchezea Deal zake. Kulikuwepo Nicholas Biwott (ambaye Ndugu Jonah Anguka alitoa Ushahidi Kuwa anaweza Kuwa Ndiye aliyemkongoli Dr. Ouko kwa Niaba ya Nyayo, and Joseph Kamotho.
Hivi Wakati wa Kikwete Ni Nani/Kina nani aliyekuwa Katika Nafasi hiyo mnadhani Hivi Kama Madili ya Kuvuruka Uchaguzi kwa Kunyang'anya Laptops Alicheza Huyu bwana Mdogo aliyekikaangoni, Ni nani alifanya Deal la Kunyanyua Ulimboka, na Deal Lilipofeli, Ni Nani alipewa Jukumu la Kufanya naye Mazungumzo SA.
Je hawa Wajamaa wapo Kweye awamu ya Tano? Mnaompenda Magufuli Msianze Matusi hapa, Hata Mimi Siana shida naye, Lakini Huyu Mzee Amezungukwa na Fisi wengi Mnno don't you think!
 
Pole sana JPM hili zigo ulojitwisha ni la misumari, una option mbili tu, kulishisha au kurndelea nalo uku ukitokwa damu ili lifike linakoenda.
 
Mwamvita kamwombea kaka yake pesa kwa bwanake ili atumie kwa uchaguzi.
Tatizo liko wapi,????
Hakuna pesa iliyoibiwa ya umma. Kila mgombea au wa Chadema au CUF alitumia pesa ambazo alipata kwa namna ambayo hatujui, sana sana viwango vya matumizi vilitofautiANA.
LETS BE FAIR, tutafute sehemu ambayo JANUARY kafisadi hela ya umma badala ya kuingilia personal affairs za dadake na mpenziwake
Unajua kuna maadili ya viongozi wa umma?? Ni kwa nini mama Tibaijuka aliwajibishwa na kuhojiwa na tume ya maadili kwa hela aliyepokea toka kwa kaka yake??
 
Wakati wa Utawala wa Moi Kenya alikuwa na Stooge wake ambao Ndio waliokuwa wamchezea Deal zake. Kulikuwepo Nicholas Biwott (ambaye Ndugu Jonah Anguka alitoa Ushahidi Kuwa anaweza Kuwa Ndiye aliyemkongoli Dr. Ouko kwa Niaba ya Nyayo, and Joseph Kamotho.
Hivi Wakati wa Kikwete Ni Nani/Kina nani aliyekuwa Katika Nafasi hiyo mnadhani Hivi Kama Madili ya Kuvuruka Uchaguzi kwa Kunyang'anya Laptops Alicheza Huyu bwana Mdogo aliyekikaangoni, Ni nani alifanya Deal la Kunyanyua Ulimboka, na Deal Lilipofeli, Ni Nani alipewa Jukumu la Kufanya naye Mazungumzo SA.
Je hawa Wajamaa wapo Kweye awamu ya Tano? Mnaompenda Magufuli Msianze Matusi hapa, Hata Mimi Siana shida naye, Lakini Huyu Mzee Amezungukwa na Fisi wengi Mnno don't you think!

Ndiyo maana wadau wengi humu wamesema Uwaziri wa huyu jamaa ni shinikizo toka kwa Mwenyekiti(Lumumba), siyo chaguo la hiari la Magufuli.
 
Mwamvita kamwombea kaka yake pesa kwa bwanake ili atumie kwa uchaguzi.
Tatizo liko wapi,????
Hakuna pesa iliyoibiwa ya umma. Kila mgombea au wa Chadema au CUF alitumia pesa ambazo alipata kwa namna ambayo hatujui, sana sana viwango vya matumizi vilitofautiANA.
LETS BE FAIR, tutafute sehemu ambayo JANUARY kafisadi hela ya umma badala ya kuingilia personal affairs za dadake na mpenziwake

Yeye kama kiongozi haitakiwi ashiriki kwenye kuahidi madili ya kudalali Rasilimali zetu....

Dadake si kasema hapo.... "
We will be providing the bank account...."

Kila kitu kiko wazi, hizi sio biashara halali hizi, ngono humo humo, utakatishaji humo humo... hovyo kabisa. JPM kamata midalali hii
 
Back
Top Bottom