January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

una tuwekea bando? au hizi touchi umewanunulia wewe? kama wamenunua qao qamepataje pesa kama hawafanyi kazi? ninauhakika wewe ni kati ya mafisadi...
Inawezekana mie ni fisadi maana sijui maana ya Fisadi.

Niliambiwa Lowassa ni fisadi mpaka leo nasubiria evidence sijaiona.

Ufisadi ni nini mkuu wangu?
 
Lakini huyu dogo si alipita bila kupingwa jamani au huu Mchuzi ndio ameutumia Kupita bila Kupingwa

Ila ana Moyo kudadadeki ya Dadaangu auze K ili mimi niwe Mbunge? LoL bure nife na umaskini wangu
tusiokuwa na dada kama tutafanyeje jaman yaan papuchi inaleta mamilion yote haya jaman daaah bahat mbya gan jaman tulionayo wengine hapaaa
 
Goodness gracious!!!!

yaani uchi unatumika kuraise pesa kwa kaka a future minister for minerals???

really really really????

I feel like bursting into flames
Hii email mbona kama Nina mashaka nayo?
 
Tutajua mengi sana
January simpendi, na yeye anajua. Lakini hats shetani tumpe haki take. Tutazame kama hizi documents hazijatengenezwa na wahuni. Na katika hili Magufuli asiyumbishwe. Vyombo vichunguze vifuatilie. Yasije yakawa no makundi ya waliodhulumiana dili wanaanza kukomoana
 
Inawezekana mie ni fisadi maana sijui maana ya Fisadi.

Niliambiwa Lowassa ni fisadi mpaka leo nasubiria evidence sijaiona.

Ufisadi ni nini mkuu wangu?

Ndiyo huu kaka maana nchi inauzwa na nyie mpo ndani tutaisoma number.JM nduguyo kakuacha uchi kaka.Jifunike tu.Ulizoea kwa wenzio leo msiba uko kwako,kaazime maturubai na viti wageni twaja....
 
Kabwela JM Jana kukubali kupokea mshiko toka kwa nduguye kwa ajili ya Kampeni. unauma lakini ndiyo ukweli
 
tusiokuwa na dada kama tutafanyeje jaman yaan papuchi inaleta mamilion yote haya jaman daaah bahat mbya gan jaman tulionayo wengine hapaaa

Usiwe na wasiwasi madada tupo lakini kutoa kutumbua cha bibi mhhhhhh
 
January na Dada yake yamejipanga kupiga deal. Dada anategesha uchi kisha anampasia bro deal.
Ndivyo wanavyofanya hawa ndugu wawili
 
Ndiyo huu kaka maana nchi inauzwa na nyie mpo ndani tutaisoma number.JM nduguyo kakuacha uchi kaka.Jifunike tu.Ulizoea kwa wenzio leo msiba uko kwako,kaazime maturubai na viti wageni twaja....
Kama ndo kupokea hela za kampeni kwa kutoa kuja kusaidia baadaye (ambayo hatuna uhakika kama ni kweli) hiyo inaitwa lobbying.

Kwani sasa hivi nikikupa hela utakataa? Tena iwe unashida kama hiyo aliokua nayo jamaa?

Mbona mama Tiba alipewa na akakiri na yupo?
Kwanza wote hatuna uhakika na hili suala. Tunakurupuka tu kuhukumu.
 
Ficha ujinga wako wewe, hapo ziko hoja nyingi tu za ukiukwaji mkubwa wa maadili ya viongozi wa umma hata kama ukiweka pembeni swala la rushwa, hoja hizi za kimaadili ya viongozi wa umma moja kwa moja zinamfanya akose credibility...
 
Tusidanganyane hapa hakuna mwanaume shujaa mbele ya k.u.m
 
Mbona Mh.Malamba nae anajuakushambulia? Alimshambukia Kamanda wetu Lowassa Kwa kuwalipa vijana 46 "mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu uchungu"
 
Ficha ujinga wako wewe, hapo ziko hoja nyingi tu za ukiukwaji mkubwa wa maadili ya viongozi wa umma hata kama ukiweka pembeni swala la rushwa, hoja hizi za kimaadili ya viongozi wa umma moja kwa moja zinamfanya akose credibility...
Ushahukumu kabla hamjampa jamaa nafasi ya kujitetea. Tupical wabongo. Kazi ipo. Basi kaa hivyohivyo endelea kuota. Hamna kipya wala lolote kitakachofuata
 
Back
Top Bottom